best applications for downloading movies

Hyo ni Youtube downloader jmaa na zaidi huko huwez pata movie full!

Eee kumbe??ndo maana mi napata nusu nusu.
Tupiamo basi za full movie tupakue watu.
Kwa simu za android
 
Tafuta torrent client yoyote zipo playstore,utadownload movies bila tatizo!
 
Nimeona torrent ila nkisearcha video inanipeleka kwa opera/googlechrrome yaani search engine
 
Ndo maanake sasa.Search results znafungukia kwenye browser.Huko ndo utakuta links kwenye torrent sites kama kickass,piratebay etc utabonyeza ile icon ya kudownload.UmemalizA
 
kama ni katika simu mimi natumia kickass torrent. Ni nzuri sana. Hata series kama unahitaji utazipata. Na yenyewe iko kama utorrent. Kama bando imeisha, ukiweka bando lingine inaendelea pale ilipokomea. unapakua hata series ya GB 15 kama simu yako ina memory kubwa
 
Basi ntajie movie mbili tatu kali ulizodownload huko tubemate zikaja full

tubemate ni kama browser ukifungua site inayostream movie unaweza kuishusha japo mie uwa situmii simu kushusha movies... natumia pc peke yake
 
download bit torrent kwenye playstore....
jinsi ya kudownload movies sasa...isearch hiyo movie googe kwa kuiandika ila mbele ongeza neno torrent ili ikupe exact results..mfano
last vegas torrent
.....ikikuoa matokeo click yanayoonesha..link kickass torrent...itafungua ..hapo kwa juu utaona jina la muvi na kapicha na kijisehemu kimeandikwa download torrent....kabonyeze...na accept download procces...ila angalia destination file ya kudownlod...kinakuwa kama kb kadhaa tu mf:30 kbs....
then nenda kwenye destined folder ulipokidownload hicho kifile...mara nyingi ukiingia file manager..utakikuta kwenye downloads folder.... utakikuta nenda kakiclick na automatically kataifungua program ya bit torrent ikija form yenye jina la hiyo movie kakikuprompt ukubali kuadd ili ianze kudiwnload movie husika.....ukiadd itaanza kudownload..
NB:UWE NA BUNDLE..kama unatumia tigo jiunge na internet megaboksi ya 500 kwa 24hrs unlimited
 
iyo. deal imekaa poa sana iyooo
 
wengine naombeni muitafute application inaitwa""any movie downloader""" n ya ukweli sana
 
Back
Top Bottom