best android themes

Hapo mekupata poa saaana.... so hapo issue ni kudeal na launcher sio....

yap, launcher kwanza, sbb sio theme zote zitakuwa compatible na launcher zote. unaweza amua kuwa na launcher moja kama unataka, ukawa watumia theme zake pekee, au ukawa na launcher tofauti, kuongeza mvuto na userability yako
 
go launcher... classic theme
 
Attachments

  • 1403177050394.jpg
    106.2 KB · Views: 221
  • 1403177061624.jpg
    72.4 KB · Views: 196
kama unapenda simu iwe simple and clean vitu vipo organized bila fujo jaribu aviate au launcher mpya ya nokia inaitwa z launcher

aviate ipo hivi

z launcher ipo hivi

uzuri wa hii z launcher unaweza andika kwenye kioo bila kutumia keyboard unaandika na kidole mfano herufi f basi vitakuja vitu vyote vya f

kama wewe unapenda makorokoro mengi kama 3d icon zinazozunguka, icon zenye maumbo ya ajabu na vitu vingi kwa pamoja nothing beat tsf launcher even hio spb ipo humu.

hii tsf ina widget nzuri sana za saa na calender kama unavyoona
 
Inapendeza sana window
 
Window
 
Attachments

  • 1403339238271.jpg
    40.7 KB · Views: 155
Lakin mbona tsf wanauza..? Hiyo z ndo siion play store
 
Lakin mbona tsf wanauza..? Hiyo z ndo siion play store

Jaribu siku zote app za kulipia u-google e.g whatsaapp+ apk
Utapata direct links za apk ambazo zishalipiwa na wasamalia au ingia hata torrent utazikuta
 
Jaribu siku zote app za kulipia u-google e.g whatsaapp+ apk
Utapata direct links za apk ambazo zishalipiwa na wasamalia au ingia hata torrent utazikuta

Ngoja nijarib torrent
 
Jamani hizo launcher zinapatikana wap? nimedownload ubuntu theme.ila.siwez kufanya ili ifanye kazi,msaada jaman wengine.wageni.katika mambo.hizi asanten sana
 
Hii launcher naona kuna rooted phone itasumbua kuiweka coz inataka cm isiwe rooted,na ukitaka kwa rooted phone ina procces hadi kero labda tusubiri wataalamu mtupe maujuzi si unajua vichwa vyetu vilivyo vizito
 
Launcher gani mkuu maana mdau alibainisha Aviate launcher na Z launcher...sasa ni ipi hapo inasumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…