Best android themes / launchers

Best android themes / launchers

Katika hizo mlizotaja ushauri zipi ni "lightweight "...?
 
Mimi nina prefer go launcher maana naiona iko faster na ina custumization za kutosha. Nimeshawahi jaribu themer ila ikanikera haiplay vizuri na custom rom hasa kama ume adjust navigation bar size. Na nyingine kama buzz launcher niliitest nikaona ni nzito.
 
Mbona mi nimejaribu kutumia izo launcher nyingi tu LAKINI ZINASABABISHA SMS KUCHELEWA KUINGIA KWENYE SIM YANGU...AFU SOMETIME SMS MOJA INAKUJA MARA KIBAO!

Kuna uwezekano ukawa umeinstal program za kuhandle texts, lakn hujaweka off stock text msg, kwahy kila msg inapoingia, program zote huleta notification, ingawa msg huwa ni moja ile ile
 
Katika hizo mlizotaja ushauri zipi ni "lightweight "...?

Kuna Apus, japo ckuijaribu, na Aviate. Japo aviate kdg ni ngumu kuitumia, mana menu yake unaslide kushoto na kulia
 
Go sms pro co launcher, ni text msg handler app, kama handcent, 8sms, hangout n.k

Nilicho zungumzia hapo ni hv naikubali go launcher pamoja na go sms pro.
Elewa kabla ya kumsahihisha mtu.
 
Kuna Apus, japo ckuijaribu, na Aviate. Japo aviate kdg ni ngumu kuitumia, mana menu yake unaslide kushoto na kulia
Ngoja nijaribu aviate ..apus so far ndo naitumia
 
natumia google now launcher, iko vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom