baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 13,951
- 16,608
Siasa za Afrika majitaka tupu
Zinatia kichefuchefu
Siasa za Afrika majitaka tupu
Sasa Jane Lowassa huyu jamaa ajifunze nini kutoka kwa Lowassa?Ameyataka mwenyewe. Utajiapishaje wakati tupe imeshatangaza matokeo? Huo ni utoto. Anapaswa kujifunza kutoka kwa Lowassa.