huyu kavuka mstari wa kujitoa mhanga, tena kwa mtu anayemjua vizuri Museven kuwa demokrasia sio imani yake. utadhan analazimisha matatizo. (If you can't defeat him; join him). naanza kuamin tetesi za mda mrefu kuwa sio mzima huyu jamaa. Museven ni serial anti- democratic. mbinu za Besigye ni za kipuuzi sana. atakoma tu.Ameyataka mwenyewe. Utajiapishaje wakati tupe imeshatangaza matokeo? Huo ni utoto. Anapaswa kujifunza kutoka kwa Lowassa.
Besigye amefanikiwa kuliko mnavyodhani.huyu kavuka mstari wa kujitoa mhanga, tena kwa mtu anayemjua vizuri Museven kuwa demokrasia sio imani yake. utadhan analazimisha matatizo. (If you can't defeat him; join him). naanza kuamin tetesi za mda mrefu kuwa sio mzima huyu jamaa. Museven ni serial anti- democratic. mbinu za Besigye ni za kipuuzi sana. atakoma tu.
Jaji wapi? Alimchukua msela tu mtaani.Huyo jaji aliyemuapisha yuko salama kweli?
wewe ni mtoto wa lowassa?Ameyataka mwenyewe. Utajiapishaje wakati tupe imeshatangaza matokeo? Huo ni utoto. Anapaswa kujifunza kutoka kwa Lowassa.
Besigye amefanikiwa kuliko mnavyodhani.
wewe ni mtoto wa lowassa?
una uhakika?Jaji wapi? Alimchukua msela tu mtaani.
Kwasababu umekariri kuwa anamaanisha Edward Lowassa, yule aliyogombea urais kwa tiketi ya Chadema mwaka Jana, sina tatizo na jibu lako. Lakini ungekuwa na akili ya kujiongeza japo sentimita 2, hakika ingekuchukua muda mfupi sana kujua kuwa kuna Joseph Lowassa pia. Elimu yetu ndiyo ya kulaumu hapa, anyways.Umeshawahi kuona mtoto wa lowassa anaenda kukopa mil. 25 bank afungue saluni? Kama hujawahi kuona basi ndo ujue sio mtoto wake
Utakua umeanza kumsikia Besigye kwenye uchaguzi wa mwaka huuSubiri hapo hapo uone mafanikio yake yalivyo
huyu alifanya hivyo?Umeshawahi kuona mtoto wa lowassa anaenda kukopa mil. 25 bank afungue saluni? Kama hujawahi kuona basi ndo ujue sio mtoto wake