ni vyema pia kuuliza mbona bosi wa MATAGA naye tambo zake ambazo amekuwa akiziimba for the past 5 years zimepotea baada ya Lissu kuzi neutralise ndani ya wiki 1 tu?Anayevuma kwa sasa ni Tundu Lissu tu.
Na si kwamba anavuma kwa sababu ana sera bora na anazinadi kwa ustadi!
La hasha.
Anavuma tu kwa kelele kelele anazozipiga akiwa huko kwenye mizunguko yake ya kutafuta wadhamini.
Sasa ikija kwa Bernard Membe, si ajabu ukimwuliza Mtanzania wa kawaida barabarani kuwa jana au leo Membe alikuwa wapi, sidhani kama kuna mtu ataweza kukuambia.
Kwa Lissu hali ni tofauti kabisa. Majuzi ile alikuwa Ikungulyabashashi. Juzi alikuwa sijui Arusha au Kilimanjaro. Jana alikuwa Iringa au Morogoro....
Sasa huyo ‘jasusi mbobezi’ yeye yuko wapi?
Hata vile vijembe vyake dhaifu kule Twitter naona hatoi tena.
Isije akawa keshaguswa na sasa ananuka!
Jamaa ni dhaifu sana. Siasa naona haimkubali. Haiba yake haiendani na mikikimikiki na mashamsham ya kisiasa.
Kwani hujui kama Zitto ni kijana wa Jack Nzoka?Sijui Zitto anamuamini vipi huyo kachero
Daaaa mkuu nilikuwa nadhani ni mlala hoi tu kama sisiKwani hujui kama Zitto ni kijana wa Jack Nzoka?
Watu mnashangaza sana.
Uzushi waachie wengine.Tuambie wewe, kampeni meneja wa Membe
Aisee! Umenikumbusha enzi Lyatonga Mrema aliulizwa sera za chama chake, akasema hiyo ni siri, ili wengine wasizipore!..Membe anafanya mambo yake KIJASUSI.
..unataka aweke karata zake wazi ili mumpiku?
Nchi hii ione hivihivi, Lisu ataisaidia sana Chadema kuwa chama imara lakini Magufuli anapiga tano tena, ndio mfumo ulivyo huwezi kubadili kitu, wapo everywhere.Daaaa mkuu nilikuwa nadhani ni mlala hoi tu kama sisi
Nyalandu anarudi tena bungeni kwa kishindo, saa mbili asubuhi anawakalisha ccm.Hivi nyalandu yupo kweli mzee wa kulamba lips
Sudan walikuwa na mfumo sawa na wakwetu na Zimbabwe ambao ni matunda ya Nyerere, lkn wananchi walipo amua kuwa basi ilikuwa basi.Nchi hii ione hivihivi, Lisu ataisaidia sana Chadema kuwa chama imara lakini Magufuli anapiga tano tena, ndio mfumo ulivyo huwezi kubadili kitu, wapo everywhere.
Ukiona mpaka masheikh na maaskofu wapo kwenye network ya watawala usipoteze muda wako.
Mbowe ajiandae mapema kukabidhi uenyekiti wa chama kwa Lisu ambaye ataindaa vyema Chadema kuchukuwa dola 2025.
Mnachopaswa kukuelewa ingawa wengi hamtokubali kuelewa, huwezi kumuondoa madarakani sitting President kwa mfumo wa Tanzania labda anapoondoka madarakani na kugombea urais wote mkiwa fresh candidate ambao mko powerless.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyalandu anarudi tena bungeni kwa kishindo, saa mbili asubuhi anawakalisha ccm.
Haya pumbavu!Kwa nchi kama yetu, watu wengi ni wa hovyo Sana, ingawa ni Jambo la mhimu na lazima, Ila wengi badala ya kuongea ki staha, wanatukana tu Kwa kila Aina ya matusi
Na hata Mimi nigekuwa tu kama Magufuli,
Kabisa!
Ila hao watawala nao ni wapumbavu tu.
Katika zama hizi ni kazi bure kupiga marufuku vyombo vya habari kutangaza habari.
Kwa nchi kama yetu, watu wengi ni wa hovyo Sana, ingawa ni Jambo la mhimu na lazima, Ila wengi badala ya kuongea ki staha, wanatukana tu Kwa kila Aina ya matusi
Na hata Mimi nigekuwa tu kama Magufuli,
Jiandae kisaikolojia, matokeo ya Urais Tanzania yakishatangazwa hayahojiwi popote.Sudan walikuwa na mfumo sawa na wakwetu na Zimbabwe ambao ni matunda ya Nyerere, lkn wananchi walipo amua kuwa basi ilikuwa basi.
Taja matusi anayotukanwa magufuli na sisi tuyajue hata kama anayetukana sio lissu wala mbowe, sisi tunatamani tufahamu hayo matusiMkuu, wewe Umeona nimeandika jina Lisu hapo