Acheni kupotosha watu kuhusu kupotea kwa hao uliowatajaNi Upuuzi tu kumuomba kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu
Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu. Wakina Lissu, na watu waliopotea akiwa rais mbona yeye ajaomba msamaha?
Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi hovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?
Wasio na pakushika tu ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja Na Nape.
Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.
R. I. P.
Siku akitoka huko kwa kishindo msijinyee
[/QUOTE
Mzee wa kukurupuka!!! Soma kwanza uelewe!!! Sasa umeandika nini?
Aibu itasababishwa na nini na nani?Mnampandisha kichwa bure mkijua mwisho wa siku mtaona aibu ya miaka.
RADHI-RIDHIAKuwia radhi na kuomba msamahaa ni vitu viwili tofauti.
Tunakwenda na upepo kaka, ukigeuka tunageuka nao.Basi hapo chadema mtashangilia kweli kweli!
Na muweke akiba ya maneno maana wakigeuka mnaanza tena kulia.
Membe ni mwanasiasa huyo hana tofauti na Kinana au Msigwa.
Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kuna maswali?
View attachment 1470338
Baharia kakaza..Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kuna maswali?
View attachment 1470338
Wanaume wamebaki wachache kama Dinosaur
Usijipaishe mkuu, huko hawajui kitu,Hiki ni kiswahili kaka, siku hizi kiswahili kipo bara zaidi kuliko pwani
Kipo ujiji hadi kasulu nk.
Yule aliomba msamaha for a reason; wanasema ana makontena yake hajayalipia ushuru, sasa kama unajiamini wewe ni msafi msamaha wa nini?!
Wewe unajuaHujui kaguswa wapi
Jasusi mbobezi hatetereki[emoji2]
Msimamo huo unampa heshima.Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kuna maswali?
View attachment 1470338
Ndiyo hiyo sasa anawapa makavu liveHakuna kitu pale.
Keshatimuliwa chamani hana madhara yeyote, mshauri aende zake tu act pengine atapata hata ubunge