Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,348 Jun 6, 2020 #41 Lisa Rina said: A man with his balls..Big up Membe..Radhi for what?for who?Dikteta atawapelekapeleka hao hao wapuuz wengine Click to expand... Hata Msigwa alikuwa na mbwembwe kama hizi za Membe, nadhani unajua kilichotokea. . Huwa tunawaonya kila siku msiwaamini wanasiasa aina ya Membe.
Lisa Rina said: A man with his balls..Big up Membe..Radhi for what?for who?Dikteta atawapelekapeleka hao hao wapuuz wengine Click to expand... Hata Msigwa alikuwa na mbwembwe kama hizi za Membe, nadhani unajua kilichotokea. . Huwa tunawaonya kila siku msiwaamini wanasiasa aina ya Membe.
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,943 Reaction score 2,934 Jun 6, 2020 #42 pamoja Santa said: Anatapatapa huyo! Si alisema niguse ninuke kaguswa mbona hakunuka Click to expand... Kaguswa wapi? Chinga kawadindia, ndindandinda haishuki
pamoja Santa said: Anatapatapa huyo! Si alisema niguse ninuke kaguswa mbona hakunuka Click to expand... Kaguswa wapi? Chinga kawadindia, ndindandinda haishuki
M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,030 Jun 6, 2020 Thread starter #43 Erythrocyte said: Halafu ni kwa tiketi ya ccm Click to expand... mkuu, utawapandisha watu pressure bure... ohooo!
Erythrocyte said: Halafu ni kwa tiketi ya ccm Click to expand... mkuu, utawapandisha watu pressure bure... ohooo!
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,348 Jun 6, 2020 #44 Erythrocyte said: Hakika ! Click to expand... Itabidi tumchukue awe mgombea wetu ama siyo?
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,943 Reaction score 2,934 Jun 6, 2020 #45 johnthebaptist said: Hata mchungaji Msigwa alimwambiaga hivyo hivyo mzee Kinana kwamba kamwe hatamwomba radhi na kama anamind aende mahakamani. Kilichofuatia wote tunakijua. Click to expand... Huyu ni chinga mama wewe, na msigwa ni mnyalu. Huyu ukitema nchale ukimeja nchale.
johnthebaptist said: Hata mchungaji Msigwa alimwambiaga hivyo hivyo mzee Kinana kwamba kamwe hatamwomba radhi na kama anamind aende mahakamani. Kilichofuatia wote tunakijua. Click to expand... Huyu ni chinga mama wewe, na msigwa ni mnyalu. Huyu ukitema nchale ukimeja nchale.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jun 6, 2020 #46 M-mbabe said: mkuu, utawapandisha watu pressure bure... ohooo! Click to expand... tunawaandaa kisaikolojia , Jiwe atakatwa mapema sana , mipango yote imekamilika
M-mbabe said: mkuu, utawapandisha watu pressure bure... ohooo! Click to expand... tunawaandaa kisaikolojia , Jiwe atakatwa mapema sana , mipango yote imekamilika
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,348 Jun 6, 2020 #47 Erythrocyte said: Topic ni Membe na ccm mkuu Click to expand... Alishatimuliwa ccm huyo hana impact yeyote
Erythrocyte said: Topic ni Membe na ccm mkuu Click to expand... Alishatimuliwa ccm huyo hana impact yeyote
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jun 6, 2020 #48 Crimea said: Itabidi tumchukue awe mgombea wetu ama siyo? Click to expand... atagombea kwa tiketi ya ccm
Crimea said: Itabidi tumchukue awe mgombea wetu ama siyo? Click to expand... atagombea kwa tiketi ya ccm
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,348 Jun 6, 2020 #49 nguruka wa kig0ma said: Huyu ni chinga mama wewe, na msigwa ni mnyalu. Huyu ukitema nchale ukimeja nchale. Click to expand... Hakuna kitu pale. Keshatimuliwa chamani hana madhara yeyote, mshauri aende zake tu act pengine atapata hata ubunge
nguruka wa kig0ma said: Huyu ni chinga mama wewe, na msigwa ni mnyalu. Huyu ukitema nchale ukimeja nchale. Click to expand... Hakuna kitu pale. Keshatimuliwa chamani hana madhara yeyote, mshauri aende zake tu act pengine atapata hata ubunge
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,943 Reaction score 2,934 Jun 6, 2020 #50 UPOPO said: Ngoja wamtafutie kesi ya uhujumu uchumi au kodi isiyolipoka Click to expand... Ipo siku akionewa mtu kama usemavyo, watu watajitoa muhanga lolote na liwe
UPOPO said: Ngoja wamtafutie kesi ya uhujumu uchumi au kodi isiyolipoka Click to expand... Ipo siku akionewa mtu kama usemavyo, watu watajitoa muhanga lolote na liwe
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,943 Reaction score 2,934 Jun 6, 2020 #51 Wacha1 said: Who cares? Click to expand... Ccm, ndy maana mpo hapa
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,348 Jun 6, 2020 #52 Erythrocyte said: atagombea kwa tiketi ya ccm Click to expand... Unaongea kujifarij tu mkuu ila ukweli unaujua sasa hapa sijui unamfurahisha nani
Erythrocyte said: atagombea kwa tiketi ya ccm Click to expand... Unaongea kujifarij tu mkuu ila ukweli unaujua sasa hapa sijui unamfurahisha nani
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jun 6, 2020 #53 Crimea said: Alishatimuliwa ccm huyo hana impact yeyote Click to expand... hajafukuzwa , kamati kuu ilipendekeza afukuzwe , wakagwaya baada ya kuonywa , ndio kisa cha Mangula kulishwa sumu
Crimea said: Alishatimuliwa ccm huyo hana impact yeyote Click to expand... hajafukuzwa , kamati kuu ilipendekeza afukuzwe , wakagwaya baada ya kuonywa , ndio kisa cha Mangula kulishwa sumu
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,943 Reaction score 2,934 Jun 6, 2020 #54 white wizard said: Lakini ukimya wake tu jamaa!! Hajiamini, Click to expand... Siku akitoka huko kwa kishindo msijinyee
white wizard said: Lakini ukimya wake tu jamaa!! Hajiamini, Click to expand... Siku akitoka huko kwa kishindo msijinyee
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jun 6, 2020 #55 Crimea said: Unaongea kujifarij tu mkuu ila ukweli unaujua sasa hapa sijui unamfurahisha nani Click to expand... kwenye wanaccm wewe haumo , unajua ni nani ataongoza vikao vya mchujo ?
Crimea said: Unaongea kujifarij tu mkuu ila ukweli unaujua sasa hapa sijui unamfurahisha nani Click to expand... kwenye wanaccm wewe haumo , unajua ni nani ataongoza vikao vya mchujo ?
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,828 Reaction score 5,968 Jun 6, 2020 #56 Kumbe ndo kashasema hawez kumsujudia kiumbe USSR said: Hakuna mtu mwoga kama membe Click to expand...
Kumbe ndo kashasema hawez kumsujudia kiumbe USSR said: Hakuna mtu mwoga kama membe Click to expand...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,237 Reaction score 69,793 Jun 6, 2020 #57 Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa.
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,348 Jun 6, 2020 #58 Erythrocyte said: hajafukuzwa , kamati kuu ilipendekeza afukuzwe , wakagwaya baada ya kuonywa , ndio kisa cha Mangula kulishwa sumu Click to expand... Unaweza kuweka ushahidi hapa? Sisi tunajua Katibu Mkuu wa chama alitangaza kutimuliwa kwa Membe chamani, sasa hayo madai yako hebu tuwekee ushahidi hapa.
Erythrocyte said: hajafukuzwa , kamati kuu ilipendekeza afukuzwe , wakagwaya baada ya kuonywa , ndio kisa cha Mangula kulishwa sumu Click to expand... Unaweza kuweka ushahidi hapa? Sisi tunajua Katibu Mkuu wa chama alitangaza kutimuliwa kwa Membe chamani, sasa hayo madai yako hebu tuwekee ushahidi hapa.
MEXICANA JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 1,785 Reaction score 2,059 Jun 6, 2020 #59 Hafu et mtu kama huyu awe rais,
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jun 6, 2020 #60 nguruka wa kig0ma said: Ccm, ndy maana mpo hapa Click to expand... Una ushahidi kwamba mimi ni CCM? Fuatilia michango yangu for the last 10 years na ushee then uje na ushahidi. Wewe ni pimbi tu ambaye umevamia meli hata hujui inakwenda wapi.
nguruka wa kig0ma said: Ccm, ndy maana mpo hapa Click to expand... Una ushahidi kwamba mimi ni CCM? Fuatilia michango yangu for the last 10 years na ushee then uje na ushahidi. Wewe ni pimbi tu ambaye umevamia meli hata hujui inakwenda wapi.