Kinambeu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 906
- 454
Bernard Kamilius Membe na Augustino Mahiga nani alikuwa waziri bora wa mambo ya nje?
Mh Membe aliweza kuleta viongozi wenye heshima kubwa toka nchi kubwa wakiwemo Rais Obama, Xi Jiping wa China na wengine wengi
Mh Mahiga ameweza kuwaleta viongozi Kama Mfalme wa Morocco , Paul Kagame na Museveni na Rais wa Uturuki
Kauli za Membe zilikuwa ni kuwatetea watanzania wanaokaa nje ya nchi Kwa nguvu zote lakini Mahiga naona hata hili suala la Msumbiji anawatupia lawama watanzania walioenda Msumbiji kuwa ni wezi, wanyang'anyi na wavunja sheria.
Jiulize Lindi na Mtwara kuna Maeneo yanakaliwa na wananchi wa Msumbiji tena kisivyo halali na Rais wao Nyusi alikuja na kuomba Kura na wakaenda kupiga Kura then wakarudi Tanzania.
Haya mengine niwaachieni nyie mdadavuwe!