Bernard Membe Mbwa asiyekuwa na meno amebaki mpweke sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,512
Nape Nnauye kwa ujinga tu na kukosa akili alidhani anaweza nyanyua mabega.akidai amekibeba chama.akagundua kuwa yeye hana impact yoyote kubwa watu wanaweza mtapika.akarudi kuomba msamaha kwa magoti.misemo yote kaisahau kwa sasa. Anasifu na Kuabudu.

Kuna watu walimkuza sana January Makamba mpaka naye akaanza jiona ni mkubwa. Wakubwa wakasema "hiii yaani hata haka ka makamba?" Wakambana mbavu. Akarudi kwa magoti kuomba msamaha. Sasa yupo wapi? Anasifu na kuabudu.

Huyu Bernard Membe. Wapinzani wapuuzi wengi walidhani ana meno. Nlishangaa membe meno kayatoa wapi?ni sawa na mbwa anayebweka kumbe kibogoyo.

Alianza kujenga kama mnara wa babel...watu wamechanganyishwa lugha. Mbona hatu wasikii tena Mkimuita Jasusi Mbobezi? Alisema akiguswa atanuka. Hakusema atanukia kama Ua Waridi.watu wamemgusa na HAKUNA HARUFU ILIYOTOKA.

Wapinzani tafuteni mtu sahihi wa kumtingisha Magufuli. Siyo hao wachovu mnaodhani wanaweza fanya kitu. Hamna lolote.

Na nyie muache upuuzi na Ujinga wa kuokoteza okoteza makapi halafu mkayakuza. Mchukueni Membe sasa...maana yupo yupo tu kama tambala la jalalani halifai hata kwa dekio.

Hakuna anayehangaika naye kwa sasa. Na simu zake watu hawapokei. Kifupi hawataki jihusisha naye tena.muda si mrefu ataomba msamaha au atakufa kwa sononi.
 
Huu uzi ni kuajiri ya kuunganisha umoja na mshikamano au ni kwajiri ya nini? Kwani mtoa mada ukizaa watoto ungali hai ukaona wanapgana na kufarakana kama watoto wa Jina moja lako utafurahia? Tanzania ni nchi na Taifa ambalo umoja na mshikamano ni kitu cha mhimu kuliko what you brought here!! Leteni mada za kutuunganisha Bila kujali ukanda,uvyama,ukabila,rangi na udini. .sio maada za kuibua mafarakano!!! ₩

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magu the lawyer
magu the police
magu the prosecutor
magu the i.g.p
magu the a.g
mgu the c.a.g
magu the president
unategemea nini hapo?

huko chamani sasa
magu the bashiru
magu the mangula
magu the polepole
magu the nec
Kwani ulikuwa hujui kuwa Rais ni kila kitu?
 
"Master Mind" wa CCM hawaonekani kwenye media yoyote, hawana cheo chochote ndani ya chama au serikali, hawajawahi kushika nafasi yoyote ya uongozi wa chama, ni rahisi sana kuwatambua maana wanaishi maisha ya kawaida tu.......
Hawa bila kujua aina ya mchezo wao, siasa za Tanzania iwe ni chama tawala au upinzani zitakushinda mapemaa!
 
Hivi ccm kama chama cha siasa bado kipo?? Je Jiwe kama mwanasiasa wa ccm anaweza kusimama kumwaga sera na watu wakamkubali au kwa kutumia vyombo vya Dola? Jiwe hana kitu walahana ubavu wa kumdhibiti mtu yeyote kisiasa bali ni kwa kutumia vyombo vya uslama.

Ameivuruga ccm kaivuruga Serikali sasa anajaribu kuwavuruga Raia. Hapo amebugi.
Mtu makini atanielewa lkn wale wote waliokwishavurugwa kwamwe hawatanielewa.

Jiwe ameshaishiwa pumzi kisiasa wakati wa kampeni 2015 hivi sasa anatumia mamlaka yake yakuwa amiri jeshi mkuu na siyo nafasi yake kama mwenyekiti wa ccm taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kubebwa/kuwa na ukaribu ba Kikwete na kupewa uwaziri wa mambo ya nje ambapo mimi binafsi sijawahi kusikia au kuona jambo lolote alilo lifanya au simamia likaonekana na watanzani na kumfanya awe na sifa ya kushika nafasi ya juu kuliongoza taifa ili.
Membe kwenye siasa za sasa ukichukulia Kikwete hayupotena madarakani, Hana uwezo ki ushawishi, ki utendaji kuliongoza taifa ili kwakua alishakua waziri na watanzania wanamuelewa vizuri kuliko wanavyo jitutumua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ujui na kamwe hutajua kaaa hivyo hivyo mda utakujuza, uyo nape uyo makamba ndio wamechonga hiyo sanamu inayokutisha wewe sasa itawatishaje wao subilia wakati utajua
 
Nape Nnauye kwa ujinga tu na kukosa akili alidhani anaweza nyanyua mabega.akidai amekibeba chama.akagundua kuwa yeye hana impact yoyote kubwa watu wanaweza mtapika.akarudi kuomba msamaha kwa magoti.misemo yote kaisahau kwa sasa. Anasifu na Kuabudu

Kuna watu walimkuza sana January Makamba mpaka naye akaanza jiona ni mkubwa. Wakubwa wakasema "hiii yaani hata haka ka makamba?" Wakambana mbavu. Akarudi kwa magoti kuomba msamaha. Sasa yupo wapi? Anasifu na kuabudu.

Huyu Bernard Membe. Wapinzani wapuuzi wengi walidhani ana meno. Nlishangaa membe meno kayatoa wapi?ni sawa na mbwa anayebweka kumbe kibogoyo.

Alianza kujenga kama mnara wa babel...watu wamechanganyishwa lugha. Mbona hatu wasikii tena Mkimuita Jasusi Mbobezi? Alisema akiguswa atanuka. Hakusema atanukia kama Ua Waridi.watu wamemgusa na HAKUNA HARUFU ILIYOTOKA.

Wapinzani tafuteni mtu sahihi wa kumtingisha Magufuli. Siyo hao wachovu mnaodhani wanaweza fanya kitu. Hamna lolote.

Na nyie muache upuuzi na Ujinga wa kuokoteza okoteza makapi halafu mkayakuza. Mchukueni Membe sasa...maana yupo yupo tu kama tambala la jalalani halifai hata kwa dekio.

Hakuna anayehangaika naye kwa sasa. Na simu zake watu hawapokei. Kifupi hawataki jihusisha naye tena.muda si mrefu ataomba msamaha au atakufa kwa sononi.
umelipwa na serikali ya wanyonge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe ni mtu asiyejitambua ambaye hana lolote analoweza sema amewahi fanya kwa ajili ya watanzania. Ni kilaza tu ambaye alikuwa na vilaza wengine wanaomsupport

Back
Top Bottom