Bernard Membe: Churches (MCC & CCT) cannot solve border dispute

Bernard Membe: Churches (MCC & CCT) cannot solve border dispute

Mleta mada una harufu ya udini na inaonesha unashabikia mgogoro wa kidini. Sijaona palipoandikwa marufuku wakristo kujadili mgogoro huu ila imeandikwa viongozi wa TCC na MCC wasijihusishe na mgogoro huu kwani kuna marais wastaafu wanaushughulikia. Ukisema Wakristo maana yake ni pamoja na Membe mwenyewe, viongozi wote ambao ni wakristo pamoja na raia ambao ni wakristo wasiujadili mgogoro huu. Acha ushabiki mkuu kwa kuitafsiri habari vibaya.

kwa mlingano nchi za kiisalamu duniani zina machafuko ukilinganisha na za wakristo walio wengi kama Ulaya na Marekani lakini pia nchi ambazo wastani wa waislamu ni wa kutosha kuna vita. Tafakari maneno yanayotolewa hapa. Hii haina maana nchi zenye wakristo hazina vita la hasha.
 
Manyanyaso ya serikali hii ya Kiislam dhidi ya Wakristo yana mwisho wake. Na mwisho wao ni 2015 . RAIS AJAYE ni lazima awe MKRISTO. Waislam watalia kilio cha mbwa koku kuanzia 2015.
 
Manyanyaso ya serikali hii ya Kiislam dhidi ya Wakristo yana mwisho wake. Na mwisho wao ni 2015 . RAIS AJAYE ni lazima awe MKRISTO. Waislam watalia kilio cha mbwa koku kuanzia 2015.

mkuu hii nchi ni yetu sote. hatuhitaj yeyote alie 2015 rais akiwa mkristo. vilevle hatuhtaji yeyote alie sasa wakat rais akiwa muislam.
 
Manyanyaso ya serikali hii ya Kiislam dhidi ya Wakristo yana mwisho wake. Na mwisho wao ni 2015 . RAIS AJAYE ni lazima awe MKRISTO. Waislam watalia kilio cha mbwa koku kuanzia 2015.
acha uchochezi......wewe unajua manyanyaso?
 
Manyanyaso ya serikali hii ya Kiislam dhidi ya Wakristo yana mwisho wake. Na mwisho wao ni 2015 . RAIS AJAYE ni lazima awe MKRISTO. Waislam watalia kilio cha mbwa koku kuanzia 2015.
.

Waislamu na wakristo wanajitesa wenyewe na hasa ukichukulia ukweli kwamba marais wa nchi watakuwa wanapokezana kwa dini au dini moja inaweza ikashika kiti hicho kwa muda mrefu. je tukubaliane kulipizana????? Watanzania jifunzeni tabia ya Rais wa dini moja kuwa wa wote, hata kama atakosolewa kwa nia njema lakini ni wa wote au akasifiwa kwa mema ni wa wote.
 
Imekuwa ni tabia ya baadhi ya waislamu kufanya fujo sana wakati wa marais wa dini zao. Zinaibuka redio, Vituo vya TV, DVD za kashfa, magazeti na mihadhara mingi kukashifu wakristo na baadhi ya wafuasi wanaona ni jambo la heri bila kujua kwamba malipizo yanawasubiri kama Rais atabadirika. Tujenge tabia ya kuhehimiana na kuvumiliana kwa imani zetu.

kuna waislamu weredi na wastahimilivu wanapinga sana tabia ya kuingilia imani za wengine. kwa wakristo walio wengi wanaona kuwa waislamu hao wachache wanafanya hivyo kwa sababu mkuu wa nchi ni wa dini yao. Hili si jambo jema hata kidogo kwa mustakabali wa Uislamu nchini hapa. Tunajenga dhana kwamba kiongozi akiwa wa Kiislamu imani zingine zitakuwa hatarini.
 
Nchi hii ina brainless na ma' headless wengi..hakuna wakati dini moja iliumia kwa sabbu rais ni mtu wa dini nyingine, huu ni utani unaokera!!
 
MALAWI Council of Churches (MCC) and its counterpart the Christian Council of Tanzania (CCT) have agreed that they should intervene and mediate in the ongoing Lake Malawi/Nyasa border dispute.
MCC and CCT made the agreement following a clear stalemate which has forced the two countries to approach the Southern African Development Community (SADC) former heads of state for assistance.
In a letter, MCC General Secretary Reverend Osborne Joda-Mbewe told his CCT counterpart Reverend Leonard Mtaita that the council in Malawi is deeply concerned about the stalemate that seems to be the order of the day in the ongoing dialogue between the two countries.
Last Friday, Tanzania and Malawi submitted letters of application to the Chairperson of the Forum of Former African Heads of State and Governments, Mr Joaquim Chissano asking the Forum to mediate the Lake Nyasa row after the two countries failed to reach a consensus on the matter.
Mr Chissano, who is also the Former President of Mozambique, received the letters from the ministers of foreign affairs of the countries in question in Maputo. The foreign ministers were accompanied by Attorneys General of both countries.
The forum is made of retired democratically elected Presidents from the countries of the Southern African Development Community (SADC). The Tanzanian Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Bernard Membe, told a team of members of press that the Forum was expected to work on the matter within four months from the day of submission
 
sidhani kama kanisa lilitaka kuwa mpatanishi lakini kwa nia njema chini kwa chini lingeweza kusaidia kutuliza munkari wa waumini wake wa nchi mbili kuvutana au kuwa na ushabiki unaweza kuchochea vita.
 
ni ujinga kukataa hii option.malawi ni chritian nation na rais ni mlokole chances are wanaweza neutralize mahusiano kwa level ya wananch, wakai serikali zikiwa zinatafuta soultion nyingine.subiri bomu la kwanza litue kama hukuona viongozi wa dini wakiitwa.na watashambuliwa kipindi vuguvuguvu la kuwato amagamba likianza.


sikujua upo upande wa malawi pia katika mgogoro wa ziwa....

1) upo upande wa malawi

2) upo upande wa m23

3) upo upande wa kagame

alafu ni pro cdm
 
sikujua upo upande wa malawi pia katika mgogoro wa ziwa....

1) upo upande wa malawi

2) upo upande wa m23

3) upo upande wa kagame

alafu ni pro cdm

Nadhani hujanielewa kabisa, na chuki yako inakupeleka kufikia mahitimisho mepesi sana kwa haraka sana km vile wanyama waliofasta wanavyohatarisha maisha yao kwa kuwa na haraka ktk dunia iliyo taratibu,mwishowe wanajikuta wanyama wabaya hawajaondoka ktk eneo wanalopitia.

1.Kuhusu malawi ulichoquote kinakutosha kuelewa ila kwa vile unachukia Ukristu na mimi ukawahi andika ujinga mtupu.
Nimesema since Malawi ina wakristu wengi , ni rais kutumia wakristu wa huku kuweka mawasiliano yanayoweza geuza mitazamo ya raia wa Malawi kwa kiasi cha kuiacha serikali yao peke yake.Hii ni njia ya wazi ya ku neutralize nguvu ya serikali inayotegemea ushawishi wa raia wake.

2.M23 sijawa hata mahali pamoja upande wao, ni upuuzi wenu tuu na udogo wa akili, ndio unaofanya mjitete hivyo pale mnaposhindwa jibu maswali yangu.Tanzania sijui km wamepima watu wangapai watafanikiwa na kw akiasi gani kwa Tanzania ingia ktk hiyo vita.Tanzania haijajiuliza vyema hasara nazo zitakuwa kwa watu gani na kwa kiasi gani.

3.Upande wa kagame?here you go again..JK hata kama alikuwa na malengo mazuri ila alivyofanya hakuwa shahihi.Kwanza anachowaambia wengine hajafanya nchini kwake, na hajaui concept ya kutomzawadia gaidi kwa kumtambua.Unapokaa nae mezani kijinga ni kusema kuwa Mpo level moja na haki sawa ktk jamabo mnalopingana.

4.Upande wa CDM?kwani wewe hujui ndio Tanzania.CDm ndio usitawi na dira ya nchi, km bado upo na wajinga ,magaidi, mafisadi, magamba ni wazi wewe ndio hatari sana.
 
Manyanyaso ya serikali hii ya Kiislam dhidi ya Wakristo yana mwisho wake. Na mwisho wao ni 2015 . RAIS AJAYE ni lazima awe MKRISTO. Waislam watalia kilio cha mbwa koku kuanzia 2015.
cjapenda udin wako. mimi mbona ni mkatoliki na cjaona uislam unamwongoza kikwete. yeye kama ni dhaifu ni yeye usiufananishe udhaifu na uislam mangi ushaharibu au ndio mmetumwa na kagame?
 
cjapenda udin wako. mimi mbona ni mkatoliki na cjaona uislam unamwongoza kikwete. yeye kama ni dhaifu ni yeye usiufananishe udhaifu na uislam mangi ushaharibu au ndio mmetumwa na kagame?

Hujastulia game wewe, Unafikiri huyo ni Mkristo? ,Huyo ni MuislAm. Mwenzangu na kwa vyovyote ni mnafki na anapandikiza chuki kwa jina Kikristo tu.
 
Back
Top Bottom