Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Umedhihirisha elimu yako .Huwezi kujutia kwakuwa huwezi jua tofauti mimi niliyesoma form two nikaimaliza nakua nafhamu ulichonacho. Ni kawaida mwenye bachellor kudhani anajua sana
 
Dogo ulale tu. Eti mna support. Yaani Baba Mkwe ajenge Sacco's nyie wakuja mje mlete maneno? Lissu mshamba hana lolote hana hela.
 
Umetumia muda wako vibaya!
 
Chadema sikio la kufa bado hawajifunzi,wao wakiona pesa za bure mimeno nje mwaa,wanafikiri kwa pesa na si kwa ubongo.
 
Na hicho ndicho anachokitaka Membe,apigiwe deki kama alivyokuwa aliyekuwa rafiki yake lakini baadae hasimu wake,mzee mvi.Sijui ule mkwara wa kumstaki Musiba umeishia wapi .Hela ya Gadaffi inamsumbua Membe na kumfanya awe kibri.
 
Yes
 
Membe behaviour while in opposition side is unknown till now
 
Kufanya kosa si kosa. Kosa ni kurudia kosa. Kumbuka Wahenga walisema, Usiache mbachao kwa msala upitao.
LOWASA ALISAIDIA SANA KUPATA WABUNGE WENGI NA MADIWANI AMBAO WASINGEPATIKANA KWA UGOMVI WA LIPUMBA NA SILAA. CCM WALISHATENGENEZA UGOMVI KATI YA CDM NA CUF KUPITIA LIPUMBA.

Tatizo haikuwa Lowasa .Tatizo ni kuanzisha UKUTA badala ya kuwalea wabunge na madiwani pamoja na viongozi serekali za mitaa. Chadema ilikubali matokeo ilhali moyoni haikukubali.

Wasiojua siasa wanadhani 2015 CHADEMA ingeingia Ikulu si sahihi .Tanzania ni kubwa sana .Pia siasa za ukanda na siasa za fedha. CCM ina Marais wastaafu,mawaziri wakuu wastaafu na wanadiplomasia2, kedekede Huwezi kutoa kirahisi
 

Ndugu Musulibasi, the objective of the Opposition political Parties shouldn't be acquiring some numbers of council and parliamentary seats only....

That's very important. But the most important of all is to overthrow the over five decades CCM regime and take control of government instruments that will facilitate the the process of making all necessary political and economic changes for the betterment of the people....

These changes can't be led by a person like Membe who joins the struggles through pre - emptive style...
 
Membe behaviour while in opposition side is unknown till now

Membe's behaviour is unknown to the Opposition??

What exactly do you mean?

In my opinion, people are not after his behaviour. We are after his MOTIVES....

I means what motive is behind his political struggles? Is he real the right person to lead and join the struggle?
 
I understand but the nature of majority voters dictates that Membe will attract more followers than Lisu.

Again ccm are well prepared for the battles in northern Tanzania but not in the southern regions .

Chadema people should think critically . It is easy to play rough against Lisu than Membe.
 
Bahavior of a person makes it easier for challengers to choose strategies to pin you down. Lisu is vocal , He drinks , He speaks about liberalism including homosexual marriages. It is easy to wage propaganda against him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…