Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,836
- 7,492
Umedhihirisha elimu yako .Huwezi kujutia kwakuwa huwezi jua tofauti mimi niliyesoma form two nikaimaliza nakua nafhamu ulichonacho. Ni kawaida mwenye bachellor kudhani anajua sanaNina elimu ya kidato cha pili, iliyokatishwa na kupoteza mzazi wa kunilipia ada. Ila nina uelewa mpana wa mambo. Huku kwenye siasa wala sibahatishi, ninaijua ndani nje. Yaani kama ww ndio una masters ya sayansi ya siasa, sijutii kutokuwa intellectual.