kiwalanikwagude
Member
- Jun 8, 2011
- 52
- 19
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga mkono udikteta wa Ghadaf.
Dunia nzima imeshangazwa na kitendo cha huyu Bwana, sijui karogwa? au ndiyo anataka kura za ndugu zetu wai.....mu? 2015? kwa maana sio jambo la kawaida kwa viongozi wa Tanzania kuunga mkono udikteta kama alivyothubutu.
Sasa sisi watanzania tuliopo hapa tunatoa TAMKO RASMI kuwa Membe asikanyage hapa! kwa maana akitia tu mguu ataipatapata, tunaapa kuwa kabla hiyo ndege atakayopanda haijatua sisi tutaanza kumzomea.
KIFUPI KATUKERA SANA, HATUHITAJI HATA MSAMAHA WAKE