Bernad Membe afunguka, amshangaa Dr. Bashiru kukaa kimya

Jasusi Limepiga hodi mbwa wameufayata, hahahaaa..... kumbe Membe ni hatari, yanayosema.huenda yakawa ya kweli.

twende na membe 2020 watoto wa mjini tuachane na washamba wachunga ng"ombe.
 
Bashiru na Pole pole ni vikaragosi vingine vya dikteta kama walivyo Ndugai na Tulia katika kutisha watu ili kichaa asiguswe kwa namna yoyote ile hata kwenye maovu yake mbali mbali.
 
Kwa hiyo, kwa sasa Membe amekuwa mtu wa kuwashawashwa anapeleka kwenye vyombo vya habari kuwa hajaitwa ili aitwe, siyo?

Mimi nilidhani anajiamini so ya nini kulialia kuwa hujaitwa? Umeshakiweka mchanga kitumbua though.
Jiandae kulipa bilion 10.
Ukishalipa ndio akili itakukaa sawa
We si umezoea kuzusha zusha safari hii imeingia anga za jasusi mbobezi

allahu akbaar( allah is great)
 
Ni aibu sana Dr Bashiru kuendeshwa na mtu duni aitwaye Musiba
 
Msiba achapwe mboko chaaa chaaa chaaa chaaa chaaa chaaa chaaa chaaaa chaaa suruali imepasuk makalioni chaaa chaaa chaaa chaaaa chaaaq siejii ndani ya dodoma trh 21 chaaa chaaa chaaa.

Unamchagua C.A.G mcha Mungu ili atende haki bila kujiingiza ktk rushwa ghafra unafanya ubadhirifu anaanza kushughurika na wewe chaaaa chaaa chaaa chaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…