Sun Tzu
Member
- Mar 2, 2010
- 78
- 24
Katika kipindi cha Harris Kapiga Clouds Fm sasa hivi Daktari anatudanganya. Berlin wall ilijengwa mwaka 1961 na wala haujafika miaka 100. Na ulivunjwa mwaka 1990 July. Yeye anatuambia kila akienda hapo anashanhaa ulivyo mrefu lakini wajerumani pamoja na kuwepo ukuta huo wamevamiwa mara tatu katika miaka 100. Huo ni Uongo na.bahati mbaya anaipotosha jamii ingawaje mengine kuhusu malezi ya familia yupo sahihi, ile Historia inabidi daktari usitupotoshe na na huo ukuta ulivunjwa sehemu ndogo tu imebaki kama kumbukumbu.