Muvi imeisha ilikua ni usiku tayari, binti akaniambia, "Ben I can spend overnight at ya place" He.!..nikasema hapa sasa nikimruhusu tu ntaaribu kila kitu.
Maana nikifikiria fujo za mama mwenye nyumba kuamka saa kumi asubuhi na madumu yake ya maji, ikifuatiwa na harufu ya vitumbua anavyokaanga.....ingekua ni majanga...
Basi akili ya haraka ikanijia nikamwambia "no electricity" basi binti alivyoshtuka utafikiri nimemwambia nalala nje.
Ben akili ya fasta ikanijia....mimi mbio bafuni..nikatafuta kipande cha sabuni sikuona...naona makopo kopo tu.....nikaona moja limeandikwa shampoo...nikafungua nikamimina ya kutosha kiganjani...dakika tatu tu network ikarudi lakini, baa mbili...kwa kweli sikusubiri nikasema hizi hizi zinatosha minara iliyobaki itakamata tu, nikatoka mbio..binti yuko bado barazani... nikamkamata mkono, akashtuka ,
Ben what? r u ok? basi mimi namvutia ndani kwa nguvu huku namjibu "it is standing, it is standing" yaani ninavyoongea hapa nimemwacha amelala hata kazini hajaenda leo.