GE2025 Benson Kigaila: CHAUMMA ina wanachama wengi inazidiwa na CCM tu

GE2025 Benson Kigaila: CHAUMMA ina wanachama wengi inazidiwa na CCM tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila amesema;

"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari yake utaiona kwenye uchaguzi"

Chanzo: Jambo TV
 
"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari yake utaiona kwenye uchaguzi",- Kigaila.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila akizungumza na Wilberforce Ngoto wa kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV.
CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani
 
Huyo mgombea wa chaumma hatoshi,hana impact let me predict,ACT katika mikutano watajaza kweli,chaumma wangeunga mkono ACT kwenye urais,wakabaki kupigania wabunge,pekee that could make sense,
#Napigana na drafting ya ubunifu wa BRICS BANK NOTES, TO COME!
1754636258373.jpg
 
Kwa jinsi walivyokuwa wakigawa kadi za uanachama sijui kama wanajua idadi halisi ya wanachama. Sitashangaa uchaguzi ukikaribia watu kibao wakijitokeza kwenye mikutano ya washindani wao kurudisha kadi zao.

Amandla...
 
"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari yake utaiona kwenye uchaguzi",- Kigaila.

View attachment 3435545
Chanzo:Jambo Tv​
CDM walishapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanganyika. Kwisha !
 
Muambieni Kigailla amuambie John Mrema arudishe nywila za akaunti ya CHADEMA Digital ni aibu kwa mtu binafsi kujimilikisha mali za chama🐼
 
"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari yake utaiona kwenye uchaguzi",- Kigaila.

View attachment 3435545
Chanzo:Jambo Tv​

Hii nchi wagonjwa wa akili ni wengi.
 
Back
Top Bottom