Benson Kigaila apewa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHAUMMA

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.

Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chaumma kinachoendelea jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Mei 19, 2025.

Awali, Kigaila alikuwa akihudumu kwenye Sekretarieti ya Chadema kama Naibu Katibu Mkuu-Bara.

IMG_1203.jpeg
 
Hizi mbinu zinazotumika ni za kizamani sana lakini zinafanya kazi Kwa sababu bado watanzania wengine ni wajinga
 
Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.

Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chaumma kinachoendelea jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Mei 19, 2025.

Awali, Kigaila alikuwa akihudumu kwenye Sekretarieti ya Chadema kama Naibu Katibu Mkuu-Bara.

Na salumu mwalimu katibu mkuu nimesikia
 
View attachment 3339092
Msajili atasema hapa kila kitu kipo sawa
 
checknoris, the terminator :pedroP:
 
at least now wataacha kuitajataja chadema na kujifanya wanachadema. byebye.
 
Back
Top Bottom