Benson Kigaila amfunika Nape Nauye ndani ya BBC

makoye2009

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
2,638
Reaction score
1,219
Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nasikiliza BBC Swahili mahojiano ya moja kwa moja kati ya BBC na Benson Kigaila Mkurugenzi wa mafunzo wa CHADEMA na Nnape Nauye wa CCM. Kigaila ameweka wazi msimamo wa CDM/UKAWA kuwa hawatambui Urais wa Magufuli na hawako tayari kushirikiana na serkali ya Magufuli!

Benson Magufuli amehoji kufutwa kwa Uchaguzi Zanzibar kuwa CCM wamefanya hivo baada ya kushindwa vibaya lakini CCM hiyohiyo ikasema kura za Rais wa JMT na hauna kasoro.Kigaila ametoa mfano mmoja ambao umeniacha sina mbavu.Kwamba wanachofanya CCM Bara kukubali kura za kutoka Zanzibar ni sawa na mtu aliyepika nyama ya Kuku na ya Kitimoto kwenye sufuria moja na mlaji wa nyama akawa ni Mwislamu ambaye inabidi achague nyama za kuku toka sufuria lenye mchanganyiko na Kitimoto huku akisema nyama za kuku ni halal!
 
Nyie kawaida yenu kukataa matokeo tumewazoea,na mwisho mtaenda ikulu kunywa na kula na Magufuli
 
Mchakato haramu huzaa/hutoa matunda/matokeo haramu. "gabbage in gabbage out". Hii ni kanuni na haina ubishi.
 
Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nasikiliza BBC Swahili mahojiano ya moja kwa moja kati ya BBC na Benson Kigaila Mkurugenzi wa mafunzo wa CHADEMA na Nnape Nauye wa CCM. Kigaila ameweka wazi msimamo wa CDM/UKAWA kuwa hawatambui Urais wa Magufuli na hawako tayari kushirikiana na serkali ya Magufuli!

Benson Magufuli amehoji kufutwa kwa Uchaguzi Zanzibar kuwa CCM wamefanya hivo baada ya kushindwa vibaya lakini CCM hiyohiyo ikasema kura za Rais wa JMT na hauna kasoro.Kigaila ametoa mfano mmoja ambao umeniacha sina mbavu.Kwamba wanachofanya CCM Bara kukubali kura za kutoka Zanzibar ni sawa na mtu aliyepika nyama ya Kuku na ya Kitimoto kwenye sufuria moja na mlaji wa nyama akawa ni Mwislamu ambaye inabidi achague nyama za kuku toka sufuria lenye mchanganyiko na Kitimoto huku akisema nyama za kuku ni halal!

Kamfunika Na Blanketi Lipi Mkuu?
 
kwa upande wangu nimemkubali nape maana hata gen. ulimwengu alikubaliana nae kuwa zanz wanapiga kura 5

raisi wa jam, wa zenji, wawakilish, diwan, hivyo wapo wenye sifa ya kupig kura zote na wapo walio na sifa ya kupiga 3 ikiwemo ya raisi wa jam. ila hawana sifa ya kupiga ya raisi wa zenji.

sasa anaposema hawatambui ushindi wa magufuli na hawapo tayar kushirikiana ni mwendelezo wa utoto wa mwaka 2010
 
Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nasikiliza BBC Swahili mahojiano ya moja kwa moja kati ya BBC na Benson Kigaila Mkurugenzi wa mafunzo wa CHADEMA na Nnape Nauye wa CCM. Kigaila ameweka wazi msimamo wa CDM/UKAWA kuwa hawatambui Urais wa Magufuli na hawako tayari kushirikiana na serkali ya Magufuli!

Benson Magufuli amehoji kufutwa kwa Uchaguzi Zanzibar kuwa CCM wamefanya hivo baada ya kushindwa vibaya lakini CCM hiyohiyo ikasema kura za Rais wa JMT na hauna kasoro.Kigaila ametoa mfano mmoja ambao umeniacha sina mbavu.Kwamba wanachofanya CCM Bara kukubali kura za kutoka Zanzibar ni sawa na mtu aliyepika nyama ya Kuku na ya Kitimoto kwenye sufuria moja na mlaji wa nyama akawa ni Mwislamu ambaye inabidi achague nyama za kuku toka sufuria lenye mchanganyiko na Kitimoto huku akisema nyama za kuku ni halal!

Hata mimi nilikuwa ndani ya daladala huwezi amini abiria wamempigia makofi.
 
Nape anadora huyo anabwabwaja tu yanamsaidia nini?
 
Nape ni mtu ambaye nilijua anaakili sana kumbe n mtu ambaye n mpumbavu kupita maelezo yaan anaongea ujinga mtu hata bila aibu
 
Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nasikiliza BBC Swahili mahojiano ya moja kwa moja kati ya BBC na Benson Kigaila Mkurugenzi wa mafunzo wa CHADEMA na Nnape Nauye wa CCM. Kigaila ameweka wazi msimamo wa CDM/UKAWA kuwa hawatambui Urais wa Magufuli na hawako tayari kushirikiana na serkali ya Magufuli!

Benson Magufuli amehoji kufutwa kwa Uchaguzi Zanzibar kuwa CCM wamefanya hivo baada ya kushindwa vibaya lakini CCM hiyohiyo ikasema kura za Rais wa JMT na hauna kasoro.Kigaila ametoa mfano mmoja ambao umeniacha sina mbavu.Kwamba wanachofanya CCM Bara kukubali kura za kutoka Zanzibar ni sawa na mtu aliyepika nyama ya Kuku na ya Kitimoto kwenye sufuria moja na mlaji wa nyama akawa ni Mwislamu ambaye inabidi achague nyama za kuku toka sufuria lenye mchanganyiko na Kitimoto huku akisema nyama za kuku ni halal!

Kushirikiana kwao na kutoshiriana nae kunatusaidia nini? Wanazani magufuli ni rais wa kuomba msaada kuongoza?
Huyo Ben anakurupuka tu, hawatambui urais wa magufuli lakini wabunge wake kesho wanaenda kupiga magoti kuomba miradi ya maji majimbo ni kwao,
Maana yake nini?
 
Nape ni mtu ambaye nilijua anaakili sana kumbe n mtu ambaye n mpumbavu kupita maelezo yaan anaongea ujinga mtu hata bila aibu

Mpumbavu ni huyo anayesema hatambui urais wa magufuli kesho kutwa wabunge wake wanaenda kumuombea huyo huyo rais miradi ya maendeleo majimbo ni kwao,
Ni ujinga uliotukuka
 
Ni sawa na kuishi duniani harafu ukasema hutashirikiana na Mungu. Atakapoenda kununua kitu chochote atalipa kodi ambayo itaenda katika serikali ya Magufuli. Atakapoenda kununua chakula atakua ameisha lipa kodi ambayo itaenda kwenye serikali ya Magufuli. akiibiwa na wezi ataenda kuripoti polisi ambayo amiri jeshi mkuu ni Magufuli. Hawa ndio viongozi wa CDM wa kuwapa nchi
 
Nape hana uelewa wa mambo mengi,na ignorance hiyo huuficha kwa kupayuka
 
huwezi pika kuku na kiti moto chungu kimoja alafu FaizaFoxy na Ritz wachague kuku wale alafu waseme hatuli kiti moto- Benson Kigaila

hapo akifafanua nec ilivo chukua kura za urais na ubunge wa muungano huku ikisema za wawakilishi na irais zanziber ni haramu hazifai
 
Last edited by a moderator:
huwezi pika kuku na kiti moto chungu kimoja alafu FaizaFoxy na Ritz wachague kuku wale alafu waseme hatuli kiti moto ni haramu- Benson Kigaila

hapo akifafanua nec ilivo chukua kura za urais na ubunge wa muungano huku ikisema za wawakilishi na urais zanziber ni haramu hazifai
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom