TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 Mar 31, 2024 Thread starter #21 Ndalama said: Muda wao umeisha Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wa kufanyaje
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,828 Reaction score 7,720 Apr 1, 2024 #22 Bana ni balozi Nigeria, Mkumba ni DC
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,193 Apr 1, 2024 #23 Jina kama bunsen burner
M Mr RoundAbout Member Joined Oct 6, 2023 Posts 74 Reaction score 89 Apr 1, 2024 #24 TAWA said: Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne. Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Anaitwa SAID JUMA NKUMBA (siyo MKUMBA) ni DC Geita kahamia Juzi tu kutoka Ukombe. Prof BANA anaendelea na Ubalozi Afrika Magharibi
TAWA said: Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne. Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Anaitwa SAID JUMA NKUMBA (siyo MKUMBA) ni DC Geita kahamia Juzi tu kutoka Ukombe. Prof BANA anaendelea na Ubalozi Afrika Magharibi