Mkuu Wa wilaya ya wapi Mkuu.hebu tujuze binadamu huyu aliyeweka rekodi ya kukaa ndani ya vyama vitatu kwa wiki mojaNkumba jiwe kampa ukuu wa wilaya .
Show man yupo mmoja tu
Yeye pekee anataka kusikizwa nakusifiwa
Ole wake yyeyote ajitokeze balaa......mambosasa anapagawa
Atakuwa ni msukuma au mnyamwezisaid Nkumba ni mkuu wa wilaya ya Bukombe..anakula mema ya nchi...sometimes umalaya wa kisiasa hulipa
Bora uwatafute makwaoHawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne.
Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkumba ni DC Geita, Bana kama ulivyosema anaendelea na kazi yake.Mmoja nadhani atakuwa ameweka juhudi kwenye kuwapa madini vijana wetu pale UDSM baada ya nyota yake na vyombo vya habari kufifia kwenye awamu hii na mwingine atakuwa Sikonge anarina asali
Hiyo Bunsen Burner gesi imeisha.Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne.
Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakumuonea huruma zaidu ni Benson bana jaman!amehangaika sana sana jaman lakini wapiii