Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

Benson Bana na Said Mkumba wako wapi?

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Hawa watu ni wanasiasa waandamizi katika nchi hii, mmoja alikuwa mbunge Wa bunge LA Tisa na mwingine alikuwa mchambuzi mahili Wa siasa katika awamu ya nne.
Kwa sasa hivi wapo wapi watu hawa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show man yupo mmoja tu

Yeye pekee anataka kusikizwa nakusifiwa

Ole wake yyeyote ajitokeze balaa......mambosasa anapagawa
 
Mmoja nadhani atakuwa ameweka juhudi kwenye kuwapa madini vijana wetu pale UDSM baada ya nyota yake na vyombo vya habari kufifia kwenye awamu hii na mwingine atakuwa Sikonge anarina asali
Mkumba ni DC Geita, Bana kama ulivyosema anaendelea na kazi yake.
 
Wakumuonea huruma zaidu ni Benson bana jaman!amehangaika sana sana jaman lakini wapiii
 
Back
Top Bottom