saed kubenea
Member
- Dec 13, 2010
- 11
- 4
Kweli, hii taarifa ni ngumu kuelewekaHueleweki kwenye habari yako...labda iweke vizuri maana hapo kwenye amri ya kumi na kubeba mabinti sijaelewa mkuu.
Kweli, hii taarifa ni ngumu kueleweka
Kweli MkuuSi KWELI TAARIFA IMEJITOSHELEZA ,BENO MALISA NA RIDHIWAN WANATAKA KUMUONDOA SHIGELA KWA FITINA BASI MNATAKA NINI ZAIDI?ILA USERNAME YAKO MMH;;KUBENEA ANAHESHIMA KUBWA HAPA SIDHANI KAMA UNAMFIKIA
Huyu pamoja na mkurugenzi wa halmashauri ya Shinyanga walichakachua kura za ubunge na akapata ubunge kwa njia ya kuchakachua wacha nae achakachuliweHaya wakubwa, nimekutana na kija wangu aliyekuwepo kwenye msafara wa UVCCM Afrika Kusini, taarifa yake ni kuwa mkakati huu unaendeshwa kwa ustadi mkubwa akihusika pia Katibu Makamba. Makamba amekubali kuingia katika kazi hii ili kutomuudhi mtoto wa mkubwa Ridhwan na hii inatokana na Januari kukosa nafasi ya Uwaziri. Nashangaa wanaonishambulia wakidhani hii TANleaks ninaipata njiani. Nitamwaga kila jambo hapa kadri muda unavyoruhusu.