Beno Malisa, RZ1 waandaa kumpindua Shigella

saed kubenea

Member
Dec 13, 2010
11
4
Wale vijana wanywa damu sasa wanajiandaa kumywa Martin Shigella kada yule aliyekuwa mkuu wa wilaya wilaya ya Mama Salma na akaletwa UVCCM kulinda maslahi ya kundi hilo. Hatua hii inakuja leo baada ya kummwaga Masauni wakisaidia na Bwana mkulu JK kwa kutumia taarifa feki kuwa alikuwa akisaliti kufanikisha kushinda safari ya pili kwa JK. Kipindi hiki inaelezwa jambo linalowaumiza ni mslahi huku Shigella akituhumiwa kubeba mabintikibao katika misafara yake ya kampeni ambao katika matukio tofauti walikunjana mashati baada ya kugundua kuwa wote wanavunjwa amri ya kumi na Shigella. Tuhuma hizi zinazoandaliwa na Ridhwan na Beno zinapangwa kwa umakini mkubwa ikiwa ni mkakati wa kumpachika binti mmoja jina nalitunza kwanza katika nafasi ya ukatibu wa UVCCM kwa kigezo kuwa nafasi hiyo inahitaji jenda ya kike. Taarifa hizi za ndani kutoka kwa watendaji wa UVCCM ambao wapo makao makuu na ambao nao walikuwa wakifanya ziara mikoani huku wakifanya haya haya wanayomtuhumu Shigella zinakuja wakati bwana mkubwa hajapewa majibu ya kwa nini asilimia zake zilipungua kwa kiwango hicho wakati yeye alifahamu angeopandisha kura kwa kuwa eti tafiti zilikuwa zikimuonyesha kuwa ni maarufu.

Nitazidi kuwapatia nyuzi kadri chanzo changu kilichoko karibu na Ridhwan kitakavyokuwa kikinipatia!!!
 
Duh!! Haya bwana ngoja tuone lakini hawa Beno na RZ1 i doubt if their ending kwenye politics itakuwa nzuri lets wait and see when another saga erupts.
 
Hueleweki kwenye habari yako...labda iweke vizuri maana hapo kwenye amri ya kumi na kubeba mabinti sijaelewa mkuu.
 
Author wa hii thread ni mtu muongo na mgeni kabisa kwenye hili jukwaa na ametumia hilo jina kuongeza credibility kwenye story yake tata na iliyojaa uongo usio na maana. Kuna siri gani kuitaja hiyo replacement wakati hapa hakuna kinachofichwa. Tafadhali tuwe makini na kauli zetu badala ya kuja na inflammatory allegations.
 
SK??????????????????????????????????????????????? Unahisi ukiwa na user hiyo basi tayari ushakuwa original SK ktk uandishi?

.........................Nitazidi kuwapatia nyuzi kadri chanzo changu kilichoko karibu na Ridhwan kitakavyokuwa kikinipatia!!!.

Siku nyingine andika kitu kilichokamilika!
 
Kweli, hii taarifa ni ngumu kueleweka

Si KWELI TAARIFA IMEJITOSHELEZA ,BENO MALISA NA RIDHIWAN WANATAKA KUMUONDOA SHIGELA KWA FITINA BASI MNATAKA NINI ZAIDI?ILA USERNAME YAKO MMH;;KUBENEA ANAHESHIMA KUBWA HAPA SIDHANI KAMA UNAMFIKIA
 
Si KWELI TAARIFA IMEJITOSHELEZA ,BENO MALISA NA RIDHIWAN WANATAKA KUMUONDOA SHIGELA KWA FITINA BASI MNATAKA NINI ZAIDI?ILA USERNAME YAKO MMH;;KUBENEA ANAHESHIMA KUBWA HAPA SIDHANI KAMA UNAMFIKIA
Kweli Mkuu
Any news is highly welcomed........ Time will tell about its credibility........ (watu wanakuwa wakali utafikiri wanamlipa mleta news)
 
Haya wakubwa, nimekutana na kija wangu aliyekuwepo kwenye msafara wa UVCCM Afrika Kusini, taarifa yake ni kuwa mkakati huu unaendeshwa kwa ustadi mkubwa akihusika pia Katibu Makamba. Makamba amekubali kuingia katika kazi hii ili kutomuudhi mtoto wa mkubwa Ridhwan na hii inatokana na Januari kukosa nafasi ya Uwaziri. Nashangaa wanaonishambulia wakidhani hii TANleaks ninaipata njiani. Nitamwaga kila jambo hapa kadri muda unavyoruhusu.
 
yote tisa tunasubiri kama mtoa taarifa wako anasema kweli au kuna jambo kalificha kuwahifadhi wanaotaka kung'olewa
 
Naendelea! Taarifa nilizozipata punde baada ya thred hii kuwekwa jana ni kuwa Beno Malissa kamtafuta Katibu Martin Shigela na kuzungumzia jambo hili lakumpindua. Katika mazungumzo hayo ambayo Malisa alijitambulisha kuwa yuko mkoani Kilimanjaro yalifuatia na utulivu huku Shigella akijifanya kuwa ndio kasikia taarifa hizo. Lakini baada ya kukatika kwa simu hiyo Shigela aliendelea na mazungumzo na wajumbe kadhaa wa Baraza la UVCCM wanaotokea mikoa ya kanda ya Ziwa ambao wakamhakikishia kumlinda huku nao wakiwa na agenda ya kutaka uchaguzi wa mwenyekiti ufanyike haraka ili kumziba kinywa Malisa na ridhwan Kikwete. Hadi naingia hapa, simu ya Ridhwani ilikuwa ikiendelea na harakati kwa wajumbe kwa kujifanya anatoa salamu za Krismasi na mwaka mpya. TANleak itazidi kukupasha kadri mambo yanavyojiri.
 
Nauliza swali moja....hivi Riz1 ataishi wapi baada ya baba yake kumaliza miaka 5 hii???maana ana adui kila idara kila kona....ataweza kwelii kuishi kama watoto wastaafuwengine?????
 
Aisee hii tarifa imenivutia sana hadi kuingia humu? Ina maana ni muendelezo wa ile iliyoandikwa na raia mwema wiki iliyopita? Lakini pia Shigella unajua umri wako umeenda hivyo kazi ya vijana hawa huiwezi ningeshauri usiingie humu kuwavuruga ila jiulize kwa nini sasa wewe wakati ulishiriki kumchakachua Masauni
 
Haya wakubwa, nimekutana na kija wangu aliyekuwepo kwenye msafara wa UVCCM Afrika Kusini, taarifa yake ni kuwa mkakati huu unaendeshwa kwa ustadi mkubwa akihusika pia Katibu Makamba. Makamba amekubali kuingia katika kazi hii ili kutomuudhi mtoto wa mkubwa Ridhwan na hii inatokana na Januari kukosa nafasi ya Uwaziri. Nashangaa wanaonishambulia wakidhani hii TANleaks ninaipata njiani. Nitamwaga kila jambo hapa kadri muda unavyoruhusu.
Huyu pamoja na mkurugenzi wa halmashauri ya Shinyanga walichakachua kura za ubunge na akapata ubunge kwa njia ya kuchakachua wacha nae achakachuliwe
 
Ubunge walioshirikiana kuhakikisha wanauchakachua ni ule wa Shinyanga Mjini ambapo mgombea wa CDM alikuwa keshashinda kwa kura kibao. Lakini hata hapa hawatafanikiwa maana hawana ujanja wa kuimbia mahakama kwa sasa ukifikiria majaji sasa hawajikombi tena kwa JK kwa kuwa siku zake za mwisho hizi. Anaitwa Masele nadhani yule mbunge ambaye eti alionekana ikulu akitoa fedha za kumtaka JK kulipia fomu, fedha zilizotoka kwa RZ1
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom