Benki zitaanza kutoza riba chini ya asilimia 10 lini kufuatia agizo la Rais na Taarifa rasmi kutoka Benki Kuu ya Tanzania?

This time zitashuka hata kama sio 10% kwa sababu BOT wamechukua hatua za kisera ambazo ndio muhimu kushusha riba.Miaka ya awali yalikuwa matamko yanaishia hewani ilikuwa hayatekwleseki

Yes zamu hii lazima riba zipungue maana hizo ni hatua za kisera na lengo ni kuimarisha uchumi wa nchi uliokuwa umesinyaa
 
wajameni kila rais aliyetawala nchi hii alisema hilohilo!!!, na majibu ya wenye mabenki ni yaleyale!!!, hili si suala la maagizo ni suala la kibiashara bila kutanzua tatizo lililopo la kuhusu mabenki na wateja wao sio rahisi rais kutoa maagizo na yakafuatwa.
Tukaribishe benki za nje ambazo zina riba ndogo.

Vile vile,Serikali iboreshe sera katika sekta ya fedha ili uchumi uchangamke zaidi.

Hivi?!,zile sababu za kuvamia na kufunga maduka ya fedha za kigeni bado zina uhalali kipindi hiki ambacho Serikali inaposema inataka kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara?!!!.

Gavana aliyesimamia ufungaji maduka ya fedha leo hii anaweza kuleta mbinu za kuboresha sekta ya fedha iendane na mitizamo ya rais wa sasa?
 
BENKI KUU YETU NI WAZURI KWENYE MAANDISHI ILA INAPOKUJA SWALA LA IMPLEMENTATION YANI MUONGOZO UMETOKA TAREHE 27 July 2021 HADI LEO HAKUNA BENKI ILIYOSHUSHA RIBA MI NIMEENDA CRDB JAMAA ANASEMA HAYO MAELEKEZO YANAHUSU SEKTA YA KILIMO PEKEE
 
Back
Top Bottom