- Thread starter
- #41
Hadi sasa commercial bank yenye interest ndog ni CRDB,16%.......nimeongea na meneja wa tawi flani pale posta muda si mrefu,..huku nikimuuliza haya maswali niliyoyauliza hapa jamvini,..akaniambia ni kweli hii taarifa imewafikia na wao wanaona namna gani nzuri ya kuendana na hii policy....akaongezea kwa kua mabanks yapo chini ya B.O.T basi na wao hawana shaka kufuata haya maagizo,ikizangatiwa hata wao wataneemeka maana mwanzo walikua wanakopa zaidi ya 10% B.O.T...ila kama wanaweza kukopa chini ya 3%,itakua ni jambo jema kwao na kwa wateja wao.Tuambizane bank yenye interest ndogo tuelekee huko,sio mnatunishiana misuli
Ni hayo tu mkuu.
The lower the interest rate the higher the economy