Benki zingine banaaa!

Mkuu umenikumbusha siku niliyoenda TRA pale MyFair ku-renew D/LICENCE yangu yaani panaboaaaaa mpaka kero. Waliopo kwenye vizimba vya huduma wote kina mama, mwanaume mmoja tu tena kala chumvi mpaka anatia huruma.

Tukiwa tumejipanga msururu mrefu ajabu ghafla bin vuuu tukashtuka kukuta vizimba vyote wametoka akabaki yule jamaa aliyekula chumvi, hatukujua wengine wameenda wapi, kama ni chooni, luch, chai hatukujua bhana.
 
jamani umenichekesha sanaaaa looh!!! nimeipenda hiyo style y kupanga viatu. Sasa pata picha tellers wamerudi halafu anaingia kichaa mmoja na kupiga mateke vile viatu kana kwamba hamjui kipi kilitangulia kipi kilikuwa cha mwisho haaaa!!!
 
Ahahaha! Watamtukana matusi yoote wanayoyafahamu. Hapo walipo tuu wateja wana hasira at the maximum.
 
hiyo hapo itakuwa network imekata sasa wateja wanasubiri irejee....
 
Lazima itakuwa "Bank of Tanzania"

Lazima watakuwa ndio hao hao ; wametutengenezea noti zisizokuwa na viwango kwa uroho wao wa 10% kwani zile za zamani ambazo bado zinazunguka zilikuwa na viwango vya juu!! Mungu atawalaani kisukari kitawamaliza na hizo hongo zenu hamtazifaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…