Bado hazitoshi mkuu wacha ziwe nyingi..kuna village bank vilevile...
Watakuja ku-merge mbele ya safari..hazitoshi mkuu wacha zije as many as possible..
Sioni hatari yeyote mkuuhakuna hatari yeyote huko mbele ya safari?
je is it fair kwa commercial bank????
hivi hii ya serikali kuanzisha benki ya vijana,
ya wanawake....,na ya jeshi ....
na sijui ni nani huyu anaeanzisha ya walimu.....
hivi.....hiii yote ni nini hasa???????
na hiyo benki ya walimu itaathiri vipi nmb??????
watanzania wanaotumia benki hawafiki millioni mbili....
kuna mtaalamu humu anaweza kutufafanulia kuna faida kwa yote haya?
hii banki ya walimu ita colapse very soon.....
kwani isha anza?hii banki ya walimu ita colapse very soon.....
hii banki ya walimu ita colapse very soon.....
Mkuu hii bank huenda ikaiathiri NMB. Kumbuka walimu karibu wote kama si wote ni wateja wa NMB na waalimu ni wengi wapo kama 240,000 hivi. Kwa hiyo ikianzishwa bank hii na kufungua matawi sehemu nyingi itakuwa na hazina ya wateja kama 240,000 hivi!! Kwa hiyo principle ya cannibalism itaimaliza NMB. Acha zianzishwe nyingi ili supply ya fiancial services iwe juu na hii inaweza kupunguza interest rates ambazo mibenk ya leo inawatoza wateja na rates ndogo ambazo zinalipwa. Najua benki nyingi si suluhisho pekee la interest rates lakini huenda ikawa changamoto kwa mabenki mengine.
Kwa maelezo ya wale wazee wa jana TBC inaonekana jamaa wana kama bil 2 au 3 zilizotokana na kodi ya jengo lao la Mwalimu House na wanazungumzia kuhusu walimu kuchukua hisa ili benki hiyo iweze kuwa na mtaji tosha kujianzisha. BOT wana regulations za bil 15 capital kwa banks, sasa kama ni hivyo hii hela nyingine itatoka wapi? Au kuna mdhamini kapatikana, na soon baada ya kuanza utasikia imeshindwa kujiendesha na hivyo kuuziwa mtu kuiendesha.
Mkuu wewe mwenyewe umesema kwamba wana kiasi cha kama 3 billioni na wanataka waalimu wachukue share. Kwa maana hiyo nadhani difference ya 12 billion ili kufikisha 15 billion itatokana na share ambazo waalimu watanunua.