Benki ya NMB Bukoba yaporwa mili 60 kwa mtandao, wana ICT mpo?

nimejaribu kufatilia hapa huko huko bukoba ni kwamba....NMB walikuwa wanabadili mfumo mzima wa computer na walifunga matawi toka ijumaa hadi leo saa nane..sasa kuna baadhi ya matawi yameshindwa kufunguliwa kwa sababu link mpya inagoma na ndio maana mengi yamefungwa....taarifa hizi nimezipata toka kyaka bukoba ambako tawi la nmb linafanya kazi mpaka sasa na wateja wenye usafiri wanatoka bukoba kwenda kyaka bukoba na wanahudumiwa.......
 
NMB toka last Ijumaa wanabadili software ya benk (core banking system) system mchana ili crash na mafundi wapo bize wanarekebisha,watajua ukweli after system kuwa Ok
 
Haiwezekani Kifupi hakuna utaalam wa IT security Bongo, period. Hakuna utaalam wa anything for that matter.
Acha madharau kwa wazawa
Yes,huwezi ku stop application zote kisa mna upgrade kitu fulani.ila kuna mambo lazima baadhi ya application zi stop kwa muda kiduchu kupisha badiliko fulani kwenye systems.
Unaweza ku perform upgrade from 9i to 10g lets say bila shutdown? uta upgrade vipi $ORACLE_HOME, kuresize redo log files au hata adjusting size of the tablespaces?
 
hao waliozichukua hizo pesa wanatekeleza sera ya chama kilichopo madarakani ya CHUKUA CHAKO MAPEMA.Kwa hiyo hao wamechukua chao mapema.
 
Acha madharau kwa wazawa...Unaweza ku perform upgrade from 9i to 10g lets say bila shutdown? uta upgrade vipi $ORACLE_HOME, kuresize redo log files au hata adjusting size of the tablespaces?
Well, bottom line is sijawahi kwenda Bank of America nikaambiwa ooh, we are sorry, leo tunafunga upgraded ORACLE_HOME na ku resize redo log files kwa hiyo bank imesimaisha kazi kwa muda! Hell to the no! Hatuna wataalam wa IT security. Citi Bank on Madison Avenue haliwezi kufungwa eti wana resize tablespaces, never ever!
 
Okay, jibu hili: Kwa nini sijawahi kwenda Bank of America nikaambiwa ooh, we are sorry, leo tunafunga upgraded ORACLE_HOME na ku resize redo log files kwa hiyo bank imesimaisha kazi kwa muda! Hell to the no! Hatuna wataalam wa IT security. Citi Bank haliwezi kufungwa eti wana resize tablespaces, never ever!
Mkuu,
Hapo tatizo sio IT personel kabisa.Utaweza kufanya upgrade ya systems zenu wakati hakuna umeme wa uhakika? hardware za uhakika? haiwezekani mkuu simetimes hawa vijana tusiwalaumu sana ndio ambacho nilikuwa nasemea
 
Aiseeeeeee mmenikumbusha wakati niko FINCA wakati zoezi la kufanya 'arrears clearance' du tulipiga hela ndefu kishenzi. Lakini wapi bwana kisicho ridhiki hakiliki......teteteteteteeeeee! Yaani unarudi na laki tano kwa siku, kesho unaambiwa nyumba imeezuliwa paa na upepo, basi hela yoooooooooooooooooooote inaenda kukarabati kibanda, Mungu ana mambo wazeeeeeeeeeee! acha tu

yaani we unajisifu kwa wizi. Lazma serikali ikufatilie.
 
Habari za hivi punde ni kuwa Baadhi ya wajanja wa Mambo ya ICT katika benki ya NMB Bukoba wameiba sh milioni zaidi ya 60.Kwa sasa benki imwefungwa wakijaribu kuona kama wanawweza kupata fedfha hizo.

Habari iko hivi.
Fedha hizi zimeibwa kupitia kitengo cha mikopo cha hii benki na kwamba Uongozi wa benki ulikuwa ukibadilisha mfumo wa computer kutoka mfumo A kwenda mfumo B ndipo wajanja walipotumia mwanya huo kuamisha fedha hizo kiulaini.

Benk imefungwa,wateja wapo wanasota .

Je kumbe ICT ina madhara makubwa kama haya,wataalam wa ICT jamani tumieni utaalam wenu kwa mambo yenye manufaa?

taarifa za kuaminika ni kuwa siyo mil.60 bali ni mil 90, wizi huo haujafanyika leo, ulifanyika kitambo na leo wanataka tu kutuzuga. Aliyesababisha wizi huyo, kesha jitimua kazi karudi kwao mbeya kwani ni mnyakyusa. kuondoka kwake hapa BUKOBA wadada wengi wamelia kwani alikuwa bingwa wa kuhonga, anamwaga hela bila kuangalia, ni juzi tu aliagiza gari jipya toka dubai.
 
Mnashangaa nini? Mbona serikali nzima imejaa wizi mbalimbali kwenye idara zake?itakuwa hii ya NMB?
 
Eh hii tanzania ina kitu gani? maana kila sehemu imeharibika! Barabarani ajali, wananchi wanauawa na polisi, majambazi nao ndo wamezidi, vitu bei juu, muda si mrefu Burundi, Rwanda na majirani zetu nao wataanza kupokea wakimbizi toka tanzania. Huu ni utabiri wangu tu msinikoti
 
Haa nao mabwege wamepigaje tuela kidogo hvo ndo mana watz hatuendelea unapata chance badala ya kufanya kweli anambwelambwela. Haya 60 mil mpo kumi. Umaskin palepale.
 
Nadhani siyo bukoba tu bali nmb zote mkoa wa kagera maana juzi mtu alienda kayanga kuchua hela asubuhi akakuta pamefungwa et mpaka j3 saa saba
 
Hao NMB wanaibiwa mara nyingi wao tuuuu, watazame upya MASLAHI YA WATUMISHI wao, wanalipwa mishahara midogo saaana na wanafanyishwa kazi muda mrefu, kazi kutoa misaada na kujitangaza ktk TV kina Shy Rose Bhanji hamna lolote watumishi wao wanabaki kutoa Mikopo hovyo hovyo kwa Rushwa na Wanawake kuchungulia Akaunti za Wanaume zilizonona na wakija kuwachekea chekea na kujilengesha wawahonge walale nao! kusupplement income zao, ndiyo maana wenye bongo zao wanafanya NMB sehemu ya kupita tu hawakai wanaenda benki nyingine
 
Unavyoeleza hii issue siyo ya kifundi na kiutalaam sana. Ni insided job walijua kuwa kutakuwa na maintance wakafanya mambo fulani. Inawezeana walifanya hivyo ni wafanyakzi ambao hawajui hata DB structure ya benki iko kwenye platform gani

Aiskudanyaye mtu hakuna system amabayo iko secure 100%. Hata Nasa aau ndege amabzo zinatakuwa kuwa secure hazifiki 100%

There is alwys a manual and persona side of things. Ndio maana hata CIA na cable za USA ubalozini zikawa public. Mashine habadli tabia lakini mtazamaji anaweza kubadlika tabia zake.

Hata huko ulaya system zao zinafail sana tu tofauti wao wana uwezo wa kuwa na redundant au standby system. Sasa NBM haiwez kutaka kuwa na copy adn paste security implimentation kama za bank of america.
Hhuwezi kutumia security sababu ipo bali unaweka baada ya kufanya security na risk assesment. La sivyo unaweza kukuta unakwenda na chandarua cha mbu wa malaria Denmark.
 
server zao haziko strong na walioiba hizo pesa ni wafanyakazi wa humo humo kwani wanafahamu system security nzima ya benki ila kuna mfumo ambao unaweza kuwasaidia jinsi ya kuwapata hao mahackers zipo software zinapatikana kwa utaalamu zaidi wafike digital brain company maeneo ya mlimani city kuna wataalamu wana dili na system ya kuwapata benking hackers
 
Kati ya mifumo ninayoiamini katika wa kielectroniki kwa pesa za wateja ni ile ya Standard Chattered na NMB, this has nothing to do with external hackers hapa wa kuwabana ni kitengi cha IT NMB head office.
Matukio mengi ya wizi wa fedha za wateja katika Bank ya NMB, huwahusisha wafanyakazi moja kwa moja au wizi wa kutumia nguvu/silaha.
 
Back
Top Bottom