Benki ya Maendeleo ya Afrika(AFDB) yaikopesha Tanzania Bilioni 360 kwa ajili ya Bajeti ya 2016/17

T
Kati ya janga kubwa ambalo tumelipata watanzania ni huyu Waziri wa Fedha Dr Philip Mpango.

He has completely failed to deliver na huyu bwana very soon anakwenda kutuingiza kwenye matatizo makubwa mno ya kiuchumi.

Stay tuned.
Tutajie hayo matatizo mkuu,si vibaya tukajua na utakuwa umelisaidia taifa na damu ya nchi hii haitakuwa mikononi mwako.
 
Sisi nyumbu si tulisema hatutegemei chochote kutoka nje? Alafu uchumi wetu unapaa wkt makusanyo ya kodi yanavunja record kila mwezi?
 
Kwa mujibu wa heading benki inaonyesha imekopa kutoka kwa nchi, na kwa mujibu ya habari yenyewe inaonyesha nchi inaonyesha imekopa kutoka kwa benki, now which is which?
 
Hela mnazokusanya toka kwenye Kodi mnakwenda kununulia Ndege "Keshi keshi" bila ya kukopa, za maendeleo mnakwenda kukopa, nyie mkoje? Ni kama vile mnaona vizazi kwa vizazi kudaiwa bila ya sababu ni Amri ya Mungu!!
Hayo ndio maajabu ya Tanzania
 
Hela mnazokusanya toka kwenye Kodi mnakwenda kununulia Ndege "Keshi keshi" bila ya kukopa, za maendeleo mnakwenda kukopa, nyie mkoje? Ni kama vile mnaona vizazi kwa vizazi kudaiwa bila ya sababu ni Amri ya Mungu!!

Umeniwahi kwa hii comment yako Allen, hii serikari ina maigizo sana!, mbwembwe zote za kununua bombardier cash!, kumbe serikari ilikurupuka! Na bado kuna Boeing dreamliner imeagizwa inatua June 2018!, hela za maendeleo inakopa!, this is shame!!!, naendelea kuyatazama Haya maigizo had I mwisho wake 2020!
 
Ni lini Bunge limepitisha hiyo kitu mbona hamuoji ilo jambo maana ni wajibu wa Bunge kupitisha huo mkataba na kutoa go ahead kwenye mikopo ya serikali pamoja inapotokea Budget deficit
 
Wanasema si wamekusanya mapato mengi ndani ya mwaka mmoja? Kwa mwezi ni 1.5trilion.

Tanzania si munasema ina uwezo wa kujitegemea? Sasa munakopa nini? bwana yule akiondoka nchi ipo rehani kwa madeni
 
Hela mnazokusanya toka kwenye Kodi mnakwenda kununulia Ndege "Keshi keshi" bila ya kukopa, za maendeleo mnakwenda kukopa, nyie mkoje? Ni kama vile mnaona vizazi kwa vizazi kudaiwa bila ya sababu ni Amri ya Mungu!!
Bwege katika ubora wake!
 
Back
Top Bottom