izobak
Member
- Nov 14, 2013
- 56
- 20
T
Tutajie hayo matatizo mkuu,si vibaya tukajua na utakuwa umelisaidia taifa na damu ya nchi hii haitakuwa mikononi mwako.Kati ya janga kubwa ambalo tumelipata watanzania ni huyu Waziri wa Fedha Dr Philip Mpango.
He has completely failed to deliver na huyu bwana very soon anakwenda kutuingiza kwenye matatizo makubwa mno ya kiuchumi.
Stay tuned.