YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,054
Safi sana hongera zao kabisa .Benki zingine ziigeIli ufanikiwe kwenye biashara yako kuna trick nyingi sana.Hawa wameipatia.Afisa wao anayehusika kafanya kazi nzuri sana.
Safi sana hongera zao kabisa .Benki zingine ziigeIli ufanikiwe kwenye biashara yako kuna trick nyingi sana.Hawa wameipatia.Afisa wao anayehusika kafanya kazi nzuri sana.
Ni kitu kikubwa sio kidogo'Msamaha wa likizo ya malipo ya mikopo'.
Hapo sawa.
Exim watapata wateja wengi sanaBomba sana ! wiki ijayo nafunga akaunti yangu mahali naipeleka EXIM
wako vizuri mno kwenye hiliExim watapata wateja wengi sana
Wala sijabisha boss,ila heading ya thread ndio imenitisha.Ni kitu kikubwa sio kidogo
Better know yo' onions.And that ni mkopo?
Ni kwamba,muda wa marejesho umeongezwa sababu ya korona,hakuna msamaha wowote!
Yall niggas will never learn and understand anything....look at'cha...yall in the casket still sleeping!
bora uko, uku Nmb wapuuz Sana, maafisa mikopo wanaganda Kama lubaCRDB na nyie igeni mfano huu. Japo likizo ya miezi miwili Hali mbaya!