Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,602
- 14,830
Jf haijafungiwa kiujumla wake mkuu, imepigwa pin kwa hapa nchini, ndo maana ukiwa nje ya nchi unapata access bila tabu,Sababu za jf kufungiwa ni kukiuka sheria(hiyo ndio sababu iliyotajwa na TCRA), hivyo yoyote anayeitumia akiwa Tanzania anafanya kosa.
Tafuta utetezi mwingine.
Kwakua jf ni kubwa sana labda dawasa wamepata kibali cha kutumia vpn ili watanzania walio nje ya nchi kwenye jukwaa hili wapate habari za dawasa