Benki ya Dunia na IMF bado hamjafanya jambo la kutupa "tangible results" watanzania katika kuishinikiza Serikali, mashariti yawe haya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Mashariti ya kutasaidia watanzania ni haya.

1.Tubadili sheria ya uchaguzi wanaojiuzulu au kuhama vyama nafasi zao zichukuliwe na washindi wa pili kama hatutaki sitisheni mikopo.

2.Tuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, kama hatutaki sitisheni mikopo.

Na ikiwezekana hata nchi wahisani mnaotupa misaada muungane na Benki ya Dunia na IMF katika kuweka mashinikizo.

Tukiwa na tume huru viongozi wateheshimu wananchi na haya maamuzi ya hovyo hovyo hayatakuwepo /yatapungua.

Pia,hata misaada na mikopo mnayotupa haitatusaidia kujkwamua iwapo tutaendelea kupoteza hela kuruda uchaguzi kwasababu za kijinga na kipuuzi kabisa kwa masilahi ya wanasiass wachache wasiojali hatima ya maisha ya watanzania.
 
Back
Top Bottom