Benki ya Dunia imesema kuwa itakopesha nchi za Tanzania na Kenya kiasi cha Dola 1.2Bilioni kuboresha bandari na vivuko vya Ziwa Tanganyika na Victoria.
Mimi siungi mkoni hoja 1.2 bl usd ni kama 2 trillion yaan wanazidi kutoongezea madeni huku hela utakayo tumika kwenye miradi uliyo kusudiwa ikiwa chin ya 40% .wapigaji ni wengi mno chini ya CCM bora tusikopeshwe hiyo hela
tunazo hela nyingi tu ziko mikononi mwa watu ndio tupo kwenye mchakato wa kuzikusanya watukaushie tukikomaa na Walozipiga zikirudi zinapita hata huo mkopo wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.