Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

Hal
Halafu mjinga mmoja anasema uchumi umekuwa kwa kuangalia namba E kwenye magari barabarani,mara tukaishi Burundi. Ee Mungu ikupendeze kwa mtu huyu umuite kwako kwa ajili ya hukumu ya haki! Utuondolee Ee BWANA twakusihi kwa maana amejaa kiburi na dharau kwa watu wako. Amen.
 
Awamu hii WB imewaumbua wazi wazi
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
Halafu anasimama mpuuzi mmoja anasema namba E zimejaa barabarani, mara harusi zinajaa na kadhalika...

Ni wazi gharika haipo mbali
 
upotoshaji ni hatua mbaya sana ya kukosa hoja,
lakini zaidi sana imani potofu kwa watu wa nje, eti wao ndio wanatathmini, kipima na kutuambia sisi ni maskini na jamaa mvivu anaamini na kuchukua jambo hilo eti ndio hoja

Tanzania hatujafukia na wala hatutafukia liwango cha umaskini kama ambavyo kimepotoshwa na wapotoshaji wanao sapotiana apo juu...

that is useles and none sense...
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
Ila Dar kiboko, nyumba nyingine wanapika chai tu, vitafunwa kila mtu atajijua!
 
Hata bila hiyo taarifa, halisi halisi ya maisha kwa watanzania wengi inaendelea kuwa ngumu kila kukicha.
Hivi ugali ni chakula cha maskini???? Hivi ni nchi gani nyingine inatumia ugali ukitoa Tz??
 
Tunachokiona kwenye maandishi yao kuhusu taarifa ya hali ya uchumi wa nchi, ni tofauti sana na Hali halisi ya uchumi wa wananchi, hususani wale wa kawaida
 
Mbona Benki ya Dunia ikitoa taarifa za Uchumi kukua Huwa mnapinga? Ila ilisema umaskini inaongezeka basi mnafurahi si ndio? πŸ€ͺπŸ€ͺ

Pili hakuna hakuna mahala WB imesema umaskini unaongezeka ila hizi ni stori zako za kutunga.

WB imesema madhara ya uviko 19 yaliwasukuma watu mil.3 kuingia kwenye umaskini Sasa how comes uviko ulisababishwa na Serikali?

Mwisho WB Imetoa hadhari kwenye mambo 3 Ili kuharakisha ustawi wa watu.
1.Kupunguza Kasi ya kuzaana
2.Kuongeza Kasi ya uwekezaji hasa kwenye sekta ambazo zinahusisha watu wengi
3.Imeipongeza Serikali Kwa sera nzuri za Uchumi.

My Take
Maelfu Kwa maelfu ya majumba yanayojengwa Kila mwaka mjini nanVijijini ni ya matajiri wachache? Punguza upumbavu kichwani mwako kisa chuki.
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
Picha Tafadhali mliyopiga wakila ugali mfupi saa 10.

Pili utueleze na jitihada ambazo Machado mumefanya Ili hao Wana Temeke wale Milo 2 kama sio 3 Kwa siku 😁😁
 
Hayo ndiyo maisha ya watanzania walio wengi.

Watanzania wachache kina Mwigiluuu, ndiyo wanaoogelea kwenye utajiri wa kutisha!😁

Kuna methali ya Kiswahili inayosema, aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Tzn hii ukishindwa kula Milo walau 2 si Bora ufe Sasa maana msosi ni buku jero Hadi buku 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…