Benki ya CRDB imenikata pesa bila sababu

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
1,787
Reaction score
2,665
Wasalaam nyote.

Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote.

Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa

Kwanza hakukuwa na uwezekano wa kutoa pesa kwa CRDB masiku kadhaa eti, sasa ishawezekana washaniibiia pesa hizo.
 
Si bora wewe mimi walinikomba 400k
 
Huu mwezi kwakweli Hawa jamaa wamezingua sana nasubiri upepo utulie nikachomoe tu mpunga wote, inawezekana hukuwa mfuatiliaji mkuu ila mimi huu mwezi tu wamepita na 37K mwanzo walichukua 17K hivi ile week ya maboresho wakapita na 20k yani dah
 
Yeap nahisi walikuwa wakinipiga sana ila sikuwahi kujua
 
Back
Top Bottom