Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Mkuu tueleze unachokifahamu au wewe unap hudumu hiyo mimi nashindw kuwalipa wato huduma wangukama hujui unachosema nyamaza wewe
Barclays Bank waigomea serikali (kutokana na Suala la VAT component) kwa kuzima online payment (barclays Integrated system) toka alhamisi na wateja hatupati huduma ya kufany miamala kwa njia , mtandao badala ya cheque. Wachukuliwe hatua haraka BOT m wapi? Ni mapato kiasi gani serikali inapoteza?
umeuliza pale Barclays? au unakuja tu kuropoka....wapigie simu...do your research before uttering such nanihiiMkuu tueleze unachokifahamu au wewe unap hudumu hiyo mimi nashindw kuwalipa wato huduma wangu
Majibu yanayotolewa yako very comflicting na hayana msingi, it is time now kuangaliwa na kuhakikisha wanatimiza wajibu wao.umeuliza pale Barclays? au unakuja tu kuropoka....wapigie simu...do your research before uttering such nanihii
hujapiga simu acha uongo wewe...piga simu utasaidiwa...siyo kuropoka tuMajibu yanayotolewa yako very comflicting na hayana msingi, it is time now kuangaliwa na kuhakikisha wanatimiza wajibu wao.
Mkuu kama wewe ni mtumishi au sehemu ya Barclays waambie waache mchwezo mchafu,time will tellhujapiga simu acha uongo wewe...piga simu utasaidiwa...siyo kuropoka tu
do your homeworkMkuu kama wewe ni mtumishi au sehemu ya Barclays waambie waache mchwezo mchafu,time will tell
Sihitaji kufanya home, ninachohitaji ni wao kutoa huduma. Banking is not my core businessdo your homework
sasa unalalamika hapa ni benki...hv we unajitambua...nenda benki utasaidiwaSihitaji kufanya home, ninachohitaji ni wao kutoa huduma. Banking is not my core business
sasa ni kugoma ama kuna matatizo ya kiufundi ?Barclays Bank waigomea serikali (kutokana na Suala la VAT component) kwa kuzima online payment (barclays Integrated system) toka alhamisi na wateja hatupati huduma ya kufany miamala kwa njia , mtandao badala ya cheque. Wachukuliwe hatua haraka BOT m wapi? Ni mapato kiasi gani serikali inapoteza?
Tena mengi angalia mwandiko wakeUna matatizo!