BENKI KUU YA UGANDA: Dalili kuu 5 kwamba Biashara ni ya Upatu

Kuna nyingine imeingia nchini inaitwa Qnet. Hawa ni balaa. Unajiunga kwa kiwango cha milioni tano ukihakikishiwa kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja.

Mbaya zaidi ilizinduliwa na mh Kigwangala na inapigiwa upatu na gazeti moja hapa nchini
 
Tatizo la wizi ni kwamba mpaka process ikamilike ndo utajua kwamba umeibiwa, la kama process bado inaendelea unaweza fikiri tu kuna msamaria mwema huko mgongoni kwako anakukuna tu tako na kukuondolea karaha ya mshawasha.
 
Forex not for everyone

Forex si lelemama

Forex u must read a lot of books

Forex sio kwa vilaza

Forex not easy money you must be really good in speculation.

Usifananishe forex na vitu vya ajabu.!
Wewe sio kilaza? Tuambia hadi leo hii na akili yako usha tatua changamoto zipi za jamii
 
Kwan mkuu inahusu FOREX?
Juhudi zako tunaziona, na ndiyo maana tunatamka haya, haiyumkini kila mtu ana akili yake anajua baya na zuri hapo shida iko wapi?

Changizo zako zote pamoja na threads unazozianzisha na kuchangia mrengo wako tunaufahamu tu Mkuu.

Na hii thread haina kichwa wala miguu imekaa ki ushakunaku tu!
 
Hahaaa angeanzisha anaye washikia akuli vipi? Shida ni pale unapo kuwa umeenda shule ila akili zako zinajuwa controled na mtu mwingine. Mimi sujaenda shule ila sijawahi tumia akili za wengine kuwaza.

Unataja mawazo yako gawe yangu au kwa sababu mawazo ya mtu mwingine ni mawazo yako pia unataka iwe hivyo pote
 
Mbona baadhi ya watu humu hampendi wengine tujue ukweli? Au ndo mlitaka mtuibie kwa uelewa wetu mdogo? ,.. Asante mtoa post
 
Hahaaa angeanzisha anaye washikia akuli vipi? Shida ni pale unapo kuwa umeenda shule ila akili zako zinajuwa controled na mtu mwingine. Mimi sujaenda shule ila sijawahi tumia akili za wengine kuwaza.

Unataja mawazo yako gawe yangu au kwa sababu mawazo ya mtu mwingine ni mawazo yako pia unataka iwe hivyo pote

Wavute watu nawe kwa kuanzisha thread ya kufuga Kuku kama avator yako ilivyo. Mara nyingi watu wenye uelewa mdogo huwa wanapenda kutembelea NYOTA za wenzao kama ulivyo wewe. Nimesoma post zakk nyingi sana ila uko "shallow" kweli kwenye kila hoja unayoieleza na umetawaliwa na "Sachastic Eggo" kiasi kila anacho anzisha mwenzio wewe ni kukitolea makosa na kuhamasisha watu wakipinge.

Ushachelewa unajua si kila alie hapa JF anafanana akili na wewe maana unapenda kuwaambia wenzio wanashikiwa akili, kwa taarifa yako tuko hapa na tunajielewa kweli kweli kwa kiwango cha Standard Gauge, we endelea kufuga Kuku ndo kipaji chako hicho hizi shughuli zingine za Mass Mobilization waachie watu wengine.

Hata ukiweza kuwashawishi watu wafuge Kuku watakufuata tu nahisi huo ni ugonjwa wako unachukia ukiona mawazo ya mwenzako yamepokelewa positively na yanafanyiwa kazi. Kijana Ontario Mungu kambariki sana anacho kipawa cha kusaidia watu wewe huna na wala usione wivu mwenzio kubarikiwa na Mungu. You have your potentials please go and find it.
 
Back
Top Bottom