Benki gani sahihi naweza ku-change dola 50 yangu ya mwaka 2004?

Professional Trader

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
1,220
1,113
Ndugu zangu Naomba kufahamu ni wapi au ni bank gani nitaweza kuichange pesa hii ya kimarekani ambayo ni 50$ (Dolar 50)ya 2004

Nilikataliwa kuichange leo pale dtb bank magomeni nilikua naomba kufaham ni wapi naweza kuichange hii pesa ya mwaka 2004 ya Kimarekani

Asanteni sana nasubili miongozo wakuu.
 
kwanini walikukatalia mkuu, jaribu kwenda bank yoyote ya tpb au kama upo Dar nenda BOT
 
kwanini walikukatalia mkuu, jaribu kwenda bank yoyote ya tpb au kama upo Dar nenda BOT

Asante mkuu ngoja nikajaribu maana waliniambia hawapokei dola ya chini ya mwaka 2008 tu sikutaka kumuuliza zaidi yule cashia nikabadili alizokubali nikasepa mkuu
 
Hiyo ni chapa halali ila huku afrika mashariki mabenki na bureau nyingi huwa hawapokea dollar zilizochapishwa kabla ya mwaka 2009.Sababu ni kwamba,inasemekana katika miaka hiyo al queda walitengeneza dollar nyingi za bandia zinazokidhi vigezo vyote vya uhakiki na kuzimwaga ukanda huu. Jaribu bureau za city center kuna nyingine wanabadilisha ila hutapata change kamili.Kwa hiyo § 50 unaweza pata elf 70 au 80
 
Nimekupata mkuu shukran kwa maelezo yako yaliyoshiba apa sasa nimeelewa adi sababu nashukuru, sasa nikuanza kuzungulukia izo bureau ili nipate ata icho chochote kitu aisee🤝

Kama unaifahamu ata moja mkuu ikikupendeza nipm mkuu niijue
 
Back
Top Bottom