usivyo na akili unawatukama na watanzania wenzeti wamakonde kwa sababu tu ya mkapa wamekukosea nini? huoni kwamba wewe ni mbaguzi na mkabila? Mkapa ni mmakua wawabeza na kuwapuuza ninii wamakonde?
lakini mkuu ebu fikiria kidogo
kuna kitu kasema pale juu kuhusu jangwani mkapa aliwaita wapinzani vikokoto,kwa mtazamo wangu hawa marais wetu wa africa hawafikirii,kwa sababu alikuwa rais wa wote lakini leo anawatukana tena,unaionaje hiyo?
mwacheni shemeji yangu,akili zake fupi zinatokana na umbile lake fupi,hana issue yule mzee
Mkapa ni Mmakua si mmakondealipokuja kwenye kampeni alisema anatokea mtwara,tumwiteje??ni msukuma?
hili limekutach sana,au na wewe ni mmoja wa vifisadi vyetu
alipokuja kwenye kampeni alisema anatokea mtwara,tumwiteje??ni msukuma?
mnamlinda mkapa kwa gharama yoyote ile,ukweli utabaki kuwa ukweli,ameshiriki kuharibu nchi yetu
Kuchangia siyo lazima lakini ni muhimu.Naona watu wemeanzisha ligi ya matusi.
Kusema kweli thread inayousisha ukabila haifai lakini ebu tumjadiri mkapa kama mkapa.Kama makosa mkapa hanayo mengi saana kwani ndo hayo hayo yanaendelea kuwatesa wananchi.
hoja hapa sio ufisadi pengine ningekuwa na maoni tofauti ya kupinga ufisadi unajuaje labda mimi ni mmakonde niliyechukia kumfananisha mkapa na wamakonde wakati yeye ni mmakua. kuchanganya hoja ya ufisadi na iliyo mbele yetu ni kututoa nje ya mjadala. kama unataka tujadili ufisadi anzisha thread kuhusu ufisadi utaona mchango wangu huko
Usikurupuke Mkapa sio Mmakonde!! Jipange