kaka unakumbuka kile kitimu cha Hispania kimetufanye je? Man U mambo yake mwaka jana yakuwa hivyohivyo walianza Hispania wakapigwa wakaja Ureno wakatolewa. Tukutane online jioni mkuu.
Congratulations to all darajanis!kwa mzee Rafa mtabeba hata kombe la dunia,tatizo ligi na hasa vijitimu vyetu vile vya sunderland,everton,wigan and the likes!