The wailer
Member
- Apr 18, 2013
- 12
- 1
Vp wadau wa sports kesho ndiyo fainal ndogo ya uefa mnaizungumziaje?
vp wadau wa sports kesho ndiyo fainal ndogo ya uefa mnaizungumziaje?
wakuu,
mi ni mpenzi wa the blues ila timu za Ureno na Hispania naziogopa sana.
Plastic fans utawajua tu,
Hazard is out of the game kwa sababu ya hamstring injury, Demba Ba is a cup tie coz alishaichezea Newcastle kwenye haya mashindano.
???????!!!!!!!!!!!!!!!!
kila la kheri wareno!
Sisi 5 wao 0
Vp wadau wa sports kesho ndiyo fainal ndogo ya uefa mnaizungumziaje?
acha unazi usio unaokubaliana na ukomunist toles mwenyewe anawatosha bnfc!
Natangaza kuwa mimi ni mfuasi na mshabiki sugu wa chelsea hapa kesho napeti...chls-bnfc(2-0)