Bendera zinazofanana au kukaribia kufanana

Bendera zinazofanana au kukaribia kufanana

Bendera ya Tunisia, ina duara jeupe
a6ebcb51a004ea1fbb1676e488b69f2c.jpg

Nimekupata. Thanks.
 
kuna thread zingine zinakuwa tamu kama hii yaani mmenifungua macho, masikio, pua, mdomo na matundu mengine yote mwilini sikuwa nayajua hayo ahsanteni sana wandugu
 
Sasa mbona hamna tofauti kabisa hivi hana mambo ya haki miliki kwenye bendera, maana hii copy paste hatari sana
Walishabadilisha Baadae kuna box jeupe na mwezi na nyota vikaingia ndani kuondoa mchanganyiko... Uturuki walitawala Tunisia kipindi cha nyuma waka adopt bendera pia
 
Back
Top Bottom