Bendera Za Ukawa Zipepee Nusu Mlingoti

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Salaaam Wakuu Wapenzi Wanachama Cha demokrasia Na Maendeleo Chadema .

Na Umoja wa Wananchi Ukawa

Hakika Kifo cha Mh mzee wetu Ndesamburo

Nipigo kwa Wa tanzania
Nawanachama Wa chadema Chini Ya Mwamvuli Wa (UKAWA)

Ningeomba Busara Ingetumika Katika Nchi nzima Office Zote za Chadema Cuf Nssr Nk,

Kushusha Bendera Zachama Nakupepea Nusu Mlingoti Kuenzi

Harakati Na uzalendo Wa Mmoja Wa Waasisi Wachama chetu Chadema

Mzee ndesa Amekipigania Chama hadi mwisho wa uhai Wake Kwa njia ya mikono Yake Nahata Mali zake

Maneno Tu hayawezi kuenzi.

Jitihada za Muasisi Na kamanda
Wetu

Niuombe Uongozi Wa Chadema Na Ukawa kiujumla

Kusikia Ombi langu Nakulifanyia kazi

Hakika Tuta kukumbuka Mh Babu Na kiongozi Wetu shujaa Ndesa pesa

Umekuwa Mwema kwa watu wote Bila kujali chama Nakutetea Unacho kiamini

Hata kabla Ya kifo chako Dakika chache za uhai wako ulithibitisha hayo.

Kwa kuhitaji Kutoa rambi rambi
Kwa wajukuu zako walio poteza maisha kwa ajali

Chadema Na Ukawa tumepoteza mtu Makini sanaa

Mwanga wamilele Akuangazie Eeh bwana.

a59e5f783a140e84c6ee1e9ff813de6c.jpg


 
Back
Top Bottom