Bendera za CHADEMA zawa 'tanzanite' Arusha

heba!!!!! endeleeni kumpa kikwete kichefuchefu hadi atapike, manake akikumbuka ule ushindi wa kishindo wa 2005, moyo unaenda mbio. yuko wapi salma kikwete, ridho1 mumtapishe?
 
kwa mtaji huo watajenga by the time uchaguzi unamalizika
 
nimeshanunua champaigne yangu nangoja kuifungua siku ya kutangazwa matokeo
 

Hahahahahaha,dah haya wapendwa
 
Hali hiyo hiyo nimekutana nayo Moshi wiki jana, boda boda na dala dala nyingi zilikuwa zikipepe bendera za chadema bila wasiwasi. Kazi ipo.
 
mgombea wa CCM wa ARUSHA aaibika apigwa nyanya na matango soko kuu la ARUSHA na akina mama , wadai ni tapeli iweje aolewe zanzibar aje kutafuta ubunge arusha
 

Mkuu Natoa pendekezo::: Hilo Neno tanzanite ..Lisomeke kwa herufu kuu ya T yaani "Tanzanite" kuonyesha ukuu wa hilo jiwe... na ukuu wa CHADEMA inapoutwaa mji wa Arusha , Mji wa jiwe hilo kwa mara ya kwanza!! ....

Karibu CHADEMA... karibu mji .... wa kihistoria lilipotangazwa Azimo la Arusha.... Azimio la Nguvu ya umma na utu wa Taifa...!
 
mgombea wa CCM wa ARUSHA aaibika apigwa nyanya na matango soko kuu la ARUSHA na akina mama , wadai ni tapeli iweje aolewe zanzibar aje kutafuta ubunge arusha

Na Kuna mahusiano muhimu kati ya Arusha na Zanzibar. Mji Mmoja Kulizaliwa **** Na mji mwingine Kilichozaliwa Arusha kiliuwawa na kuzikwa huko Zanzibar. Matokeo ya kifo hicho umma wa watanzania ni ya tima, hauna nguvu yeyeote. Sasa itakuwa vipi??? ...Ni kweli Azimio la arusha lilikuwa chimbuko na nguvu ya Umma... amabyo sasa yarejea Arusha kwa fulllshangwe!!

Watu wa Arusha fanyeni kitu cha kihistoria...!!

Sherehe za kumsimika Mbuge wenu fanyieni pale kwenye ile nyumba lilipozaliwa AZIMIO LA NGUVU YA UMMA MWAKA 1967 ile si mali ya sisiem ni historia ya Kitaifa .... Na hilo muanze kulitangaza rasmi kwa nguvu zote kuanzia sasa...MUNGU AIBARIKI TZ NA AWABARIKI NA NYIE PIA mnapojianda kwa sherehe nzito za KITANZANITE!!! Kwani nuru ya uhuru iliyokuwa inazimika sasa inarejea!!! Ni Nani anayebishia hili??
 
Alinishangaza Kikwete siku alipokuaj kukampeni Arusha aliposema "nimekuja mara nyingi Arusha, lakini leo uwanja umetapiaka!' . Sikumwelewa kamwe baba wa watu na nikasema moyoni kama kweli uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulikuwa umetapika wakati anahutubia (wakati watu walikuwa wakitoka baada ya Fiesta kuisha na yeye kuchelewa kufika) basi wakazi wa Arusha hawampendi Rais wao.
 
hii inapendeza, na kweli haya ndo mabadiliko ambayo 2nayataka.
 
Vijana wa lema wastukia vituo feki vya kupigia kura kwenye kambi za jeshi.......... waapa mabox hayo hayatatoka humo wanajeshi watapiga nayo picha dic time no kuibeba ccm kwa njia yeyote ile mpaka kieleweke
 
Vijana wa lema wastukia vituo feki vya kupigia kura kwenye kambi za jeshi.......... waapa mabox hayo hayatatoka humo wanajeshi watapiga nayo picha dic time no kuibeba ccm kwa njia yeyote ile mpaka kieleweke

kama kweli hii ni hatari kubwa,kule wananchi si hawaruhusiwi kuingia?
 
kwa kweli ccm mwaka huu asilimia 101 ya watanzania wameshaugundua upuuzi wao, hawana chao tena. CCM tupa kuleeeeeee.. ......mbafu kabisa.
 
Kamanda wa CHADEMA Lema nusura alishwe sumu pale alipokuwa akipata chakula cha mchana maeneo ya police kuna pub mpya imefunguliwa pale, ila makamanda wake walipo stukia wakamwambia asile yeye wakala wao, kilichowapata wanajua wao wakapewa maziwa fresh wakatapika vilivyo, hayo ndiyo madudu ya CCM wanayo yafikiria
 

SISIEM .... where are ... dont you have anything to say against this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…