Ni kweli kabisa hata mimi nimeenda Arusha jana bendera zote zimeshatolewa wale masalia wa ccm walikuwa wamebakia arusha naona wameamua kusaliti amri wenyewe kabla operasheni FUTA DELETE CCM ARUSHA kuanza tena .
Ni kweli kabisa hata mimi nimeenda Arusha jana bendera zote zimeshatolewa wale masalia wa ccm walikuwa wamebakia arusha naona wameamua kusaliti amri wenyewe kabla operasheni FUTA DELETE CCM ARUSHA kuanza tena .
nyie wajinga na siasa zenu za ukamda na ukabila,watu wakiwasema mnalalamika mimi mmwenyewe nakaa arusha nasikia wanayoyasema
,naomba na kanda ya ziwa zote za upinzani wazingoe tuone na ukabila wanu,
mungu anapompanga mtu kuwa rais kwake sio ukanda wala ukabila bali mtu sahihi wa kuongoza taifa,
Eenh...kwahiyo..???
kasikazini na siasa za ukanda hii dhabi itawatafuna,kumbe nyerere aliwaona mapema sana,
Haha...kwa vile akian maige wanaipenda sana CCM?Na wao wataipigia CCM kikanda?lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,
Kama ni suala la ukanda na ukabila wanachama wa CCM Arusha wanashusha bendera za chama chao kwa kuwa jina la mtu wao waliokuwa wanamuamini limeondolewa hata kabla ya kufika kwenye tano na kwa kuwa CCM mnatukuza ukanda na ukabila ondoeni jina la Magufuli kwenye kinyang'anyiro cha urais ili wanachama wa CCM kanda ya ziwa nao waanze kung'oa bendera za chama chao,hapo watakuwa wamekwenda sambamba na wanachama wenzao wa Arusha na sera yenu ya ukanda na ukabila itakuwa imetekelezwa barabara.
hii zambi ambayo kiongozi wake ni mengi kwa siri itawatafuna mpata mwisho wao,na ndo maana wanaangaika nakutumia nguvu nyingi ili kuongoza nchi hii kwa sababu ya hiyo kansa ya ukanda.
Haha...kwa vile akian maige wanaipenda sana CCM?Na wao wataipigia CCM kikanda?
Hivi unadhani yupo mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuelewa na kuamini pumba unazoandika😕😕
Kama unaongelea ile account fake ya facebook ya kumchafua Ridhiwani your wrong!Si kweli mkuu, tatizo ni pale ambapo mto ndani ya CCM anasema Rais wa Tanzania hatatoka Kaskazini. Halafu huu usemi unatimia kwa njia za Hila
wewe! sisi ndo tunaishi Arusha achilia yanayotendeka yanayosemwa ni zaidi ya kutoa bendera
na swali kwao kama mikoa yote iliyota wagombea 38, wale wote walioshidwa mikoa yao wakitoa bedera itakuwaje?,kwani arusha ndo mgombea wao pekeyake ameondoleawa.?kama sio ukanda ni nini?
ni siasa za ukanda wala sio kingine na wanasema magufuli wanamkubali lakini kwa sababu ameondoshwa lowasa basi,
hiyo kama sio ukanda ni nini?
Kwani si ndie misemo mliwafundisha CCM on the way..kuwa ingawa sijui mimi ni sijui ni Mkristu ila ktk hili..ingawa mimi ni Mchaga ila ktk hili, ingawa mimi ni CCM ila kwa hili la Zitto na CDM ....Ingawa mimi ni CDM ila ktk hili....Lowasa ne alidhani issue ni kwa Wachaga na CDM tuu ndie maana hakuona km ukanda ulimhusu sasa watu wake ndio wanaamka na wanakumbuka alichoongea Mtoto wa mfalme na hadi sasa anajisifu kwa hilo.mkuu mimi siko huko lakini nachokwambia ni kile ninachokiona kinafanyika haiwezekani watu wanasema wanamkubali sana magufuli lakini wanasema kwa kuwa ameondolewa mtu wao hawatani tena na wengine wakifanya hivyo nchi nzina itakuwaje?