Bendera za CCM zimeng'olewa Arusha

kasikazini wana rahana ya nyerere tangu walipotaka kupewa uhuru wao na kupinga uhuru aliokuwa anautafuta nyerere,ndo maana wanaendekeza siasa za ukanda nawashauri acheni hicho mnachokifanya kutawarudia na mtapinga kelele,
 
Leo wameona wajiseme chama cha kaskazini lakini pamoja na hayo hawana madhara yeyote kwenye kura za Urais..
 
Sio Arusha mjini tu hadi huku kwenye wilaya za Arusha watu wengi wamehama wako chadema

wanatimiza agizo la mkubwa wao na sisi wa kanda ya ziwa tunafanya yetu na wakusini mtuunge mkono zidi ya hii dhabi inayolipeleka taifa letu kwenye kaburi,
 
Huyo makomeo hata akifanya nini, hatoboi mwaka huu
 
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,

....Kanda ya ziwa ?

Si kweli mkuu, tatizo ni pale ambapo mto ndani ya CCM anasema Rais wa Tanzania hatatoka Kaskazini. Halafu huu usemi unatimia kwa njia za Hila
 
Leo wameona wajiseme chama cha kaskazini lakini pamoja na hayo hawana madhara yeyote kwenye kura za Urais..

mkuu huu mpango umekuwa unafanyika muda mrefu
lakini watajua hii dhabi wanayoitengeneza itakura kwao sisi ni mara tatu yao tutaona mwaka huu na ikiwezekana waweke wazi tujue hadi kwenye magazeti ili taifa lijuie wazi,
 
Sio Arusha mjini tu hadi huku kwenye wilaya za Arusha watu wengi wamehama wako chadema

.....Kiteto, Hanang , Babati , Simanjiro , Ngorongoro , Arumeru magharibi na Longido Chadema mwendo mdundo !!
 
Kanda ya ziwa hatutaki kabisa kuisikia ccm bora huko kaskazini na hii ya kutugawa kikanda na kikabila tumewashtukia mtaota mbawa
 
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,

Hakuna mtu wa kanda ya ziwa anayehitaji mambo ya ukanda.
 
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,

Hivi unawahusishaje wapinzani kwenye sakata la CCM?wakati wanaoshusha bendera za CCM ni CCM wenyewe?.
 
Nkobe

kasikazini na siasa za ukanda hii dhabi itawatafuna,kumbe nyerere aliwaona mapema sana,
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa hata mimi nimeenda Arusha jana bendera zote zimeshatolewa wale masalia wa ccm walikuwa wamebakia arusha naona wameamua kusaliti amri wenyewe kabla operasheni FUTA DELETE CCM ARUSHA kuanza tena .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…