meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Kama bendera na mabango yanapiga kura basi Magufuli Aapishwe aende ikulu.
Uliwahi kuleta mada hii hii kuwa bendera za ACT zimepamba mji wa ARUSHA..Akili yako kama ya mutoto.,leo ukatoa neno ACT ukaweka CCM
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Unadhani tunaziona basi........tupo busy kukata namba za tarehe kila siku kuelekea tar 25 Oct..........kama una zingine nipe niweke.......huku Kijenge zipo chache sana...........na huku Muriet hakuna kabisa........
Bendera hazipigi kura
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Mwenyekiti wa CCM Arusha unamjua? Hebu tuwekee jina lake!